Wema Sepetu anatafuta mwanaume wa kumuoa

Anatafuta MUME au anatafuta wa kumuowa?? Mume awe fresh kwa mke fresh. Sasa na maskandali yake yote hayo aolewe harusi kweli?? Abadilishe aseme; Natafuta wa kuniwowa.
Nadhani vijana bora mkajichukulie used tuu wako kibao.
 
HUSIKA NA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU

JAMANI MDOGOETU AMEFUNGUKA KUW AANATAFUTA MWANAUME WA KUMUOA

VIJANA MPOOO
SIO MNASEMA HAMNA WANAWAKE HAMNA WANAWAKE, EE

WEMA ANA HELA ZAKE, ANA MAISHA YAKE ANA BIASHARA ZAKE KWANI TSH NGAPI?

OENI TU!

Mashine imechacha hiyo. Hakuna mwanamke hapo.
 
HEHEHEHEHEHHEHEHHE
NIMESKIA WEMA YUPO JF, ANAWASOMA IVO SHAURIENU @wemasepetu
Anatafuta MUME au anatafuta wa kumuowa?? Mume awe fresh kwa mke fresh. Sasa na maskandali yake yote hayo aolewe harusi kweli?? Abadilishe aseme; Natafuta wa kuniwowa.
Nadhani vijana bora mkajichukulie used tuu wako kibao.
 
HUSIKA NA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU

JAMANI MDOGOETU AMEFUNGUKA KUW AANATAFUTA MWANAUME WA KUMUOA

VIJANA MPOOO
SIO MNASEMA HAMNA WANAWAKE HAMNA WANAWAKE, EE

WEMA ANA HELA ZAKE, ANA MAISHA YAKE ANA BIASHARA ZAKE KWANI TSH NGAPI?

OENI TU!

Hela zake kupitia source gani ya income, biashara zipi mana nazoziona zilishakufa, kutoa mayangazo insta au?. Mana sio kwenda kutuulia kaka zetu bure wanaume wenyewe wachache
 
ivo ee?
mbona hamumuulizagi instagram source yake of income?
 
Back
Top Bottom