Wema Sepetu anatafuta mwanaume wa kumuoa

Wema Sepetu anatafuta mwanaume wa kumuoa

Hata mzungu hatoi toi tongue kiss ovyo ovyo unless they mean to sleep na wahusika, we unaeza kulambana lambana vile na yeyote tu hata kama hulali nae?
thats nasty asf! Ingekuwa kawaida isingekuwa defined kwa jicho tofauti, mbona smooch haina tatizo,
Ila bado hujajibu swali langu
mzungu kajaje tenaa?
 
Ukitafuta dereva mzuri wa gari lako chagua dereva mwenye CV nzuri/kubwa na awe mzoefu aliyebobea, alieendesha magari aina tofauti tofauti, gari kubwa na ndogo, aliyeendesha inchi nyingi duniani na hata ujuzi wa ufundi wa gari awe nao ili msilale njaa au porini
Ndio maana nawaambia wamuwowe wema yeye ana experience ya kutosha
 
Ivo ee?!
Ila hajamaliza ujana ametimiza miaka 30 juzi kati
kwisha habari yake
kama ameshindwa kutimia nafasi wakati ana miaka 22,hawezi tena kwa sasa fursa zimepita
Jumbe
kanumba
Diamond
Idriss
Yule muuza kiume
mwami
Muhasibu wa ndege za serikali mpaka kafungwa kwa kuiba amuhonge
Mpaka sasa wema hana hata kiwanja cha skwata,anadhani kila siku maisha yatakua yale yale
 
Me bad nauliza huyu Jumbe ni yup? ! Mbona sijibiwi
 
Mi
Wanawake wazuri tabia nzuri zinawashinda...

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi nampenda Wema jamani. Unconditionally. Ila du sijui kama akiniona ata reciprocate!!! She is yammy and taste.
Kama hana mchumba bado mi sitajali 'katembea' na nani au wangapi!! I love her face, shape, her smile plus she is also relatively educated and indeed sexy.
Wema hata jina lako tu zuri.
I adore you Wema. I don't care what they say about you. Let them say.
 
awwww! nimekupenda bure
muoe basi mdogwangu wema, wanaume kama wewe mpo wachache sana
 
Back
Top Bottom