Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
ivo ee?
mbona hamumuulizagi instagram source yake of income?
hehehehe
kwani Tongue kiss ndio ku-have chekchi jamani?Mapicha picha anayo leak ya kunyonyana ndimi na wanaume yaonekana ndo main source, madanga rtc, kama si kupea presha kwa muoaji afe mapema ni nini, atulie tu azeeke mwenyewe kishaharibu X
Idris anaijua vizuri idara ya fedha ya nyumbani kwa Wema.IDRIS NI MZAZI WA WEMA AU?
Tatizo mama yakeHUSIKA NA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU
JAMANI MDOGOETU AMEFUNGUKA KUW AANATAFUTA MWANAUME WA KUMUOA
VIJANA MPOOO
SIO MNASEMA HAMNA WANAWAKE HAMNA WANAWAKE, EE
WEMA ANA HELA ZAKE, ANA MAISHA YAKE ANA BIASHARA ZAKE KWANI TSH NGAPI?
OENI TU!
MBONA WALISHAKIMBIANA MUDAIdris anaijua vizuri idara ya fedha ya nyumbani kwa Wema.
MAMA YAKE KAFANYAJE TENAATatizo mama yake
MUNGU ANAKUOOOONAAAKama kuoa tutaoa Kenya,Uganda,Rwanda hapa tutapiga jaramba tu na akina Sepetunga
Si ndio namaanisha kwa kuwa walisha pika na kupakua pamoja, basi ana mengi anayajua.MBONA WALISHAKIMBIANA MUDA
SA HIVI WEMA YUPO NA NANII WA BANDARINI MNADANI
Si ndio namaanisha kwa kuwa walisha pika na kupakua pamoja, basi ana mengi anayajua.
kwani Tongue kiss ndio ku-have chekchi jamani?
woi kumbe watz mindset bado ee?
kwahiyo wewe kila mwanaume unaemnyonya ndimi unalala nae?
Nimekuelewa mkuu[emoji23] [emoji23]Ukitafuta dereva mzuri wa gari lako chagua dereva mwenye CV nzuri/kubwa na awe mzoefu aliyebobea, alieendesha magari aina tofauti tofauti, gari kubwa na ndogo, aliyeendesha inchi nyingi duniani na hata ujuzi wa ufundi wa gari awe nao ili msilale njaa au porini
Ni nzuri kwa matumizi.Hazijatumika saaanamimi bado nauliza mbona USED car toka japan mnanunua?
Vya kwetu havipendeki wala kulika,tutaenda huko huko njeMUNGU ANAKUOOOONAAA
PENDA VYA KWENU