Wema Sepetu anatafuta mwanaume wa kumuoa

Wema Sepetu anatafuta mwanaume wa kumuoa

Haki ukitaka kupata kichaa basi oa huyu dada, huhitaji kudungwa sindano ya sumu ili ufe ila utakufa kwa sumu toka mwilini mwako mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app


hahahahhahhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ivi jamani huyu mtoto amewafanya nini lakini?
mbona mnamchukia hivyo? dah nimecheka mpaka nimepaliwa
 
Kwnza Yeye safari ya Dubai lini? Mwenziwe ndo kwanza amerudi. Mana iyo ndio michezo yao
 
Back
Top Bottom