Wema Sepetu kajipeleka kwa mume wa Zari, Ivan

Wema Sepetu kajipeleka kwa mume wa Zari, Ivan

Freeland

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
14,481
Reaction score
10,227
Wadau;

Imefikia sasa wazazi kujifunza namna wanavyowalea watoto wao.

Kufundisha maadili mema watoto wetu ni jambo la msingi

Kwa kweli ni aibu kubwa kwa mzazi wa mtoto mwenye tabia hizi.

Kazi ya huyu binti ni nini haswaa?

Nini kinamwingizia kipato?

IMG-20150208-WA0010.jpg

IMG-20150208-WA0011-1 (1).jpg

Source: Sintah.com
 
Siku hizi Wanaita Project
 
Sidhani kama ni kweli..... Ningeshangaa sana!
 
Asa swali ni kwamba kaenda kusalimia au nn hasa kilicho mpeleka au kaitwa.....wafanye project
 
mmh hii habari mbona kama haina ukweli.....
 
Na hapa kamsema Zari kamsema Zari kwa kurusha post instagram...akaifuta hataka kumbe watu wameinyaka.

Duh y alimuacha Diamond kama bado anamzimia...au ni wivu sababu hakuchuja. Au ni kusikiliza ya wapambe ndio wanamuamulia.

Ila yeye kumsema mwanamke re mimba ni kitu kibaya sio tabia nzurim
 

Attachments

  • 1423475348905.jpg
    1423475348905.jpg
    61.9 KB · Views: 2,015
Hivi ukipigiwa mkeo inabidi na wewe utafute mke wake na wewe umpigie kazi kweli. Sasa hapo maumivu kwa mwanamke au mwanaume ngoja niwaite wataalam. warumi geniveros Dinarzarde

Hii ni tamaa ya wanawake wengi,kaona picha za kula bata. pesa zinarushwa pichani huyo kaenda kukutana nao.

Shame on her kwa kweli kwa tabia hii, angekuwa mke wa Chibu tungesema ni mke wa ndoa mengine. Ila amemwacha Chibu, now ka move on anamsaka kwa kujiweka low sijui anashindania nini.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom