Mrigariga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,760
- 1,619
muuza matoke
Matoke South Afrca!! Ndo yanampa hii lifestyle ya the rich and famous...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muuza matoke
Mi sifurahii mambo mabaya ya Wema lakini jinsi anavyosemwa humu nashindwa kuelewa, hakuna mkamilifu jamani, humu Kuna watu wabaya wenye michirizi, malaya wamejikoboa mpaka hawatazamiki lakini kwa kuwa hatujuani basi kasoro zote ni za Wema, aachwe mtoto wa watu hajaifikia list ya mwenzie bado.
wameachana wale zari na mumewe wangekua wako pamoja sawa na watoto wanaishi kwa baba na mama
suala la mapenzi si lakuingilia kati ila kitendo cha kuanza kujiassociate na ivan sio kizuri
ht km lengo lake ni kumkomesha zari na daimond ila kwa pale amechemsha
mi siwezi kumsemea maumbile yake sijui michirizi hayo ya kwake
ila kwa sasa wema anatafuta umaarufu kwa nguvu kweli
Ili swala hakuna anayejua lilipoanzia, hakuna anayejua kwann Wema alimwacha Domo, Ilikuwaje Zari atoke na Domo.
Inawezekana Zari na Ivan wameachana kweli, utajuaje labda huwa wanapasha viporo.
Mwisho wa siku movie ni yao, wacha waendelee kutuburudisha wakichoka wataacha.
Hivi huyu Ivan what does he do?!!
Kuna watu bingwa wakumtukana mtoto wa watu kwasababu hawajulikana, lakini wao file zao ziwekwe mezani Wema anasubiri sana.
wameachana wale zari na mumewe wangekua wako pamoja sawa na watoto wanaishi kwa baba na mama
suala la mapenzi si lakuingilia kati ila kitendo cha kuanza kujiassociate na ivan sio kizuri
ht km lengo lake ni kumkomesha zari na daimond ila kwa pale amechemsha
mi siwezi kumsemea maumbile yake sijui michirizi hayo ya kwake
ila kwa sasa wema anatafuta umaarufu kwa nguvu kweli
Yani angekua na akili asingekubali kukutana na hao richgang cjui amejishusha sn
Ulitaka ajilete kwako....
Mijitu mingine kazi yao kuponda tu
Mbona we unavyo gongwa huko mtaani watu hawakusemi umejishusha... Let her live her life
Yaani kumbe na wewe una support muuza nyapu? You are better than this Heaven on Earth
Rest in Peace Freeland
Sidhani kama ni kweli..... Ningeshangaa sana!