Wema Sepetu kajipeleka kwa mume wa Zari, Ivan

Wema Sepetu kajipeleka kwa mume wa Zari, Ivan

Nilishawahi Kusema Humu,Kwenye Nyanja Ya UMALAYA, WEMA Hana Mpinzani Afrika Mashariki Na Kati. Nikashamvuliwa Sana Humu. Ila Ukweli Ndo Huo. Yeye Anajiona Mjanja Kumbe Umalaya Anaoufanya Ni Ule Umalaya Wa Kiuswahilini Wakutaka Kuonekana Na Kusikika Kwny Media. Na Ndo Huu Unao Ambatana Na Magonjwa Ya Zinaa. Shauri Yako Wema.
 
Hujajibu swali una uhakika alijipeleka???

Uliona alipokuwa anajipeleka? Una kithibitisho cha kujipeleka?

What if huyu ivan ndio alimfuata???

Kuna watanzania wengine ndio walianza kuwafata, wakawarusha insta hadi account zao wamezipumzisha. Hata wapambexwa Wema wanakubali anachofanya.

Ila hata kama kafatwa hajui kusema no, je atajuaje w yupo wapi kama hatatoa contacts as kule SA sipo anapoishi. Please ametaka kuwa nae na tumeona mengine watajijua.

Sie wengine ni ushabiki wa wasanii, fun kiburudisho sinema....
 
Movie za kibongo bwana, tatizo sijui ni script au kushindwa kuigiza !!
 
nimeamini wema anasaka umaarufu kwa nguvu yani kaona amefifia ndo katoka kihivyoo

Wema hajui kuigiza hii muvi ilikuwa tamu sana ila wema kwa kuwa kichwa maji kaishaiaribu, atabaki anaicheza peke yake na hao washamba wa kiganda. Wenzie wanafanya kweli, mwisho wa siku atabaki anatia kinyaa. Kichwa chake sio kizima huyu malaya, hawezi ata kufikiri.
 
umeona eehhh amekurupuka sana mwisho wa siku yani atajuta sana na sidhani km mondi atarudi tena
anaskiliza team ushuzi zile
 
Hujajibu swali una uhakika alijipeleka???

Uliona alipokuwa anajipeleka? Una kithibitisho cha kujipeleka?

What if huyu ivan ndio alimfuata???

ha ha ha BT haya sasa ni zaidi ya mahaba lol kafatwa vipi wakati ye ndo kaenda south? na IG ye ndo.alianza kumfollow Ivan? madai yake nae.anamwaga mboga....mashabiki wake wanafurahi kweli wema kutiwa jaman mi nshacheka hadi sijiwezi
 
Safi sana wema,kama Zari anatafunana na diomond na wewe tafunana na Ivan.
 
Huyo mtoto wa watu hata kuny.a atakuwa hanyi sasa...

Asiende SA kwa kuwa kuna ivan????

Common ppl

Umaarufu mwengine hawa viumbe mnawapa bure....

Asiende club simply b'se kuna ivan???

Asipige picha kwa sababu watamjudge?

Asizungumze nae kwa sababu tu ni ex wa mtu???

Life is too short......

ha ha ha BT haya sasa ni zaidi ya mahaba lol kafatwa vipi wakati ye ndo kaenda south? na IG ye ndo.alianza kumfollow Ivan? madai yake nae.anamwaga mboga....mashabiki wake wanafurahi kweli wema kutiwa jaman mi nshacheka hadi sijiwezi

Asifollow watu kwa sababu ataanza kuwa wa kwanza kufollow

Hapo kwenye kutiwa sitii neno maana sijui mambo ya sirinj chumbani, nisije jikuta nashuhudia uongo bure (maana angalau pics za club tumeziona)
 
Huyo mtoto wa watu hata kuny.a atakuwa hanyi sasa...

Asiende SA kwa kuwa kuna ivan????

Common ppl

Umaarufu mwengine hawa viumbe mnawapa bure....

Asiende club simply b'se kuna ivan???

Asipige picha kwa sababu watamjudge?

Asizungumze nae kwa sababu tu ni ex wa mtu???

Life is too short......

Asifollow watu kwa sababu ataanza kuwa wa kwanza kufollow

Hapo kwenye kutiwa sitii neno maana sijui mambo ya sirinj chumbani, nisije jikuta nashuhudia uongo bure (maana angalau pics za club tumeziona)

wallah mahaba niburuze ning'oe meno yote ya mbele he he he alikua wapi siku zote, dai alivoenda uganda nae akasema.anaenda kwa kinyonga leo kajipenyeza hadi kwa Ivan hiyo ni mwaga mboga hata ukimtetea
 
halafu team ushuzi wanashangalia yaani hawajskii vbaya ht km sie wengine anynomous yetu machafu ila ddaah yake yamezidi dddduuuuhhhh
juzi alivoeka picha yupo na ommy shabiki wakasema ooh jamani tumefurahi jamaa 1 akauliza mmefurahi mmetiwa nyie???watu bana yan bwana wa madam ni bwana wa kikosi lol
 
Back
Top Bottom