mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 760
Una uhakika kajipeleka???
Nani alimbeba au kumteka kama so kujipeleka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika kajipeleka???
Nani alimbeba au kumteka kama so kujipeleka?
Hujajibu swali una uhakika alijipeleka???
Uliona alipokuwa anajipeleka? Una kithibitisho cha kujipeleka?
What if huyu ivan ndio alimfuata???
Movie za kibongo bwana, tatizo sijui ni script au kushindwa kuigiza !!
nimeamini wema anasaka umaarufu kwa nguvu yani kaona amefifia ndo katoka kihivyoo
Wema hajui kuigiza hii muvi ilikuwa tamu sana ila wema kwa kuwa kichwa maji kaishaiaribu, atabaki anaicheza peke yake na hao washamba wa kiganda. Wenzie wanafanya kweli, mwisho wa siku atabaki anatia kinyaa. Kichwa chake sio kizima huyu malaya, hawezi ata kufikiri.
mbona kama photoshop
sio photoshop ni kweli wema yupo southSidhani kama ni kweli..... Ningeshangaa sana!
Una uhakika kajipeleka???
Hujajibu swali una uhakika alijipeleka???
Uliona alipokuwa anajipeleka? Una kithibitisho cha kujipeleka?
What if huyu ivan ndio alimfuata???
yani hii ya wema kubwa kuliko!!!
Ni kubwa kuliko hata Escrow
ha ha ha BT haya sasa ni zaidi ya mahaba lol kafatwa vipi wakati ye ndo kaenda south? na IG ye ndo.alianza kumfollow Ivan? madai yake nae.anamwaga mboga....mashabiki wake wanafurahi kweli wema kutiwa jaman mi nshacheka hadi sijiwezi
Huyo mtoto wa watu hata kuny.a atakuwa hanyi sasa...
Asiende SA kwa kuwa kuna ivan????
Common ppl
Umaarufu mwengine hawa viumbe mnawapa bure....
Asiende club simply b'se kuna ivan???
Asipige picha kwa sababu watamjudge?
Asizungumze nae kwa sababu tu ni ex wa mtu???
Life is too short......
Asifollow watu kwa sababu ataanza kuwa wa kwanza kufollow
Hapo kwenye kutiwa sitii neno maana sijui mambo ya sirinj chumbani, nisije jikuta nashuhudia uongo bure (maana angalau pics za club tumeziona)
juzi alivoeka picha yupo na ommy shabiki wakasema ooh jamani tumefurahi jamaa 1 akauliza mmefurahi mmetiwa nyie???watu bana yan bwana wa madam ni bwana wa kikosi lolhalafu team ushuzi wanashangalia yaani hawajskii vbaya ht km sie wengine anynomous yetu machafu ila ddaah yake yamezidi dddduuuuhhhh