Wema Sepetu kajipeleka kwa mume wa Zari, Ivan

Wema Sepetu kajipeleka kwa mume wa Zari, Ivan

juzi alivoeka picha yupo na ommy shabiki wakasema ooh jamani tumefurahi jamaa 1 akauliza mmefurahi mmetiwa nyie???watu bana yan bwana wa madam ni bwana wa kikosi lol

haaaaajhhhhhhha angekua mtu mwingine hapo huyo dogi tungekoma yani angejutraaaaw
 
Na yeye ndo kaenda kutafuta mimba nini? siku hizi mtaan kila mtu anafanya projekt
 
Nacheka na komenti tu mie, ,wema anampenda Daimond mpaka anachanganyikiwaa aisee kwa hao Richgangs sijuiii tutaona mwisho wakeee
 
Huyo mtoto wa watu hata kuny.a atakuwa hanyi sasa...

Asiende SA kwa kuwa kuna ivan????

Common ppl

Umaarufu mwengine hawa viumbe mnawapa bure....

Asiende club simply b'se kuna ivan???

Asipige picha kwa sababu watamjudge?

Asizungumze nae kwa sababu tu ni ex wa mtu???

Life is too short......



Asifollow watu kwa sababu ataanza kuwa wa kwanza kufollow

Hapo kwenye kutiwa sitii neno maana sijui mambo ya sirinj chumbani, nisije jikuta nashuhudia uongo bure (maana angalau pics za club tumeziona)

Sasa hata Kama akitiwa kuna mtu kamkopa MAKU???? kuna watu wanatiwa zaidi ya Wema tena bure bure si bora yeye analipwa..
 
Duh!ama kweli mwanaume pesa sura hata mbuzi anayo😀

mh, mbona mshkaji yuko kawaida tu?
ivan.jpg
 
Kwa uchambuzi wa hapa mpaka muda huu kuhusu huyo aliyetajwa kama mume wa zari na tabia anazotajwa kuwa nazo kama ni kweli wadada wana kazi jamani.Najiuliza hata huyo zari aliwezaje kukaa na mwanaume mwenye tabia kama hizo mpaka akazaa na watoto. Pesa ni janga la kitaifa kwa kweli dada zetu wanadhalilika sana.
 
Back
Top Bottom