Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
juzi alivoeka picha yupo na ommy shabiki wakasema ooh jamani tumefurahi jamaa 1 akauliza mmefurahi mmetiwa nyie???watu bana yan bwana wa madam ni bwana wa kikosi lol
haaaaajhhhhhhha angekua mtu mwingine hapo huyo dogi tungekoma yani angejutraaaaw
