MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 560
mbona kama photoshop
Ni photocopy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona kama photoshop
Siajabu wewe unayecheka Una michirizi zaidi ya wema sema hujulikani, Kama wabisha weka picha tukusaminishe.
Siajabu wewe unayecheka Una michirizi zaidi ya wema sema hujulikani, Kama wabisha weka picha tukusaminishe.
Ivan kishasuuza rungu au? picha hazifunguki...
Teh! Teh!
Marahabaaaa!!! Humu watu wako perfect kila kona hawanaga hata michirizi nakwambia kazi kumcheka Wema tu....sijui tunaopishana nao huko mitaani wamepasuka mpaka makwapani ni akina nani! Lol....binadamu siye!
halafu team ushuzi wanashangalia yaani hawajskii vbaya ht km sie wengine anynomous yetu machafu ila ddaah yake yamezidi dddduuuuhhhh
Ulikuwa wapi watu
washaweka
Ivan kishasuuza rungu au? picha hazifunguki...
ngoja niziweke vizuri vuta subira
Hivi huyu Ivan what does he do?!!
Hajisikii vibaya mtu mzima aliyeacha watoto na mume anazurura na kijana wa haki elimu ndo wajisikie vibaya mashabiki wa Wema?? Hiki kituko sasa.
Hivi huyu Ivan what does he do?!!