Wema Sepetu kajipeleka kwa mume wa Zari, Ivan


Kuna watu bingwa wakumtukana mtoto wa watu kwasababu hawajulikana, lakini wao file zao ziwekwe mezani Wema anasubiri sana.
 

Ili swala hakuna anayejua lilipoanzia, hakuna anayejua kwann Wema alimwacha Domo, Ilikuwaje Zari atoke na Domo.

Inawezekana Zari na Ivan wameachana kweli, utajuaje labda huwa wanapasha viporo.

Mwisho wa siku movie ni yao, wacha waendelee kutuburudisha wakichoka wataacha.
 
Huyu Wema hata akimwaga mboga anajidhalilisha tuu,anatiwa yy wanashangilia wao!!kashachoka mbaya
 

bora ya msingi watajijua wenyewe
 
Kuna watu bingwa wakumtukana mtoto wa watu kwasababu hawajulikana, lakini wao file zao ziwekwe mezani Wema anasubiri sana.

Kwa hio kwa sababu kuna wengine wana /tuna madhambi...madhambi ya huyu malaya yasisemwe?
 
Huwezi kupoteza mda kumshauri mtu uliyemjua akiwa na meno 32 tena hakuhusu kwa nde wala kidole. Wema mtu mzima na anajua anachofanya sie wengine tukae kando tuone project inavyoenda,
 
Kuna watu bingwa wakumtukana mtoto wa watu kwasababu hawajulikana, lakini wao file zao ziwekwe mezani Wema anasubiri sana.

Ngachoka kabisa, ila mi nampenda sana Wema anaishi atakavyo yeye na kwa kuwa anatukanwa basi ndo anaamua kufanya yake, sasa wanaokerwa waendelee kusugua vichwa.
 

Ila watu wamezidi kuwa judgemental kwahyo zari na ndomo ni Sawa Ila kwa Wema ni kosa hata kupiga picha kuogopa watu watasemaje mana hata kina ndomo wanakomeshana wenyewe kwa wenyewe maisha ni simple tukipunguza kujaji wengine itakuwa vizuri kila mtu ana matatizo yake Ila kwa Wema too much.
 
Mbona we unavyo gongwa huko mtaani watu hawakusemi umejishusha... Let her live her life

Given that she is A Celeb...her life is no more private...its public

General public can criticize,Comment and reward for her actions.

A prostitute is not a good example to our society
 
Sidhani kama ni kweli..... Ningeshangaa sana!

"Kiukweli.. what is happening in this world sometimes some of the things are even outside the often amazings, I really becomes in puzzle when I everyday get the senseless staff about this superstars, Wema Sepetu in particular..anayoyafanya yote ni kwajili ya ku maintain kuandika kwenye media so, ni maisha yake mwacheni, at the end of the day she is in for it, none oout of her is rather concerned.
But she has to revise her self - esteem.
By Hascohamidu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…