Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Jokate nae angeachana na hizo mambo mbona yule kichwani zimo ana akili ya kufanya biashara kishapiga dili na wachina naona yupo level nyingine aache huo ujinga ujinga wa kina mheshimiwa

Yn haendani nao kabisaaaa...kale ni ka malaya underground
 
kama lowassa kaitafuna nchi hadi basi, na bado anagombea sembuse wema ajaribu bahati yake
 
Hapana, sioni sababu kabisa ya Wema kuwa attacked hapa, ati kisa tu anataka tumia haki yake kikatiba.

Its wrong. Very wrong.

Mhuuu
Mi hata siamini kama ni wewe, haya basi kunywa maji baridi hapo naja kulipa.
 
Joto hasira, Hussein Mwinyi alikuwa mbunge wa Mkuranga. Sema lingine.

kwa huu muungano wetu wa chuna buzi mzanzibar anaweza kuwa mbunge waziri mpaka rais tanganyika ila mtanganyika kupiga kura hapo nchi jilani znz kazi kweli kweli huo ubunge sijui uwakilishi wao tu wazanzibar
 
CCM kuna mfaa sana ndo njia mteremko ya ulaji, maana hamna vigezo. Kama darasa la saba anagombea Urais sembuse Wema kwa viti maalumu?
 
Aiseeee... Sipati photo wema na ule mchata wake cjui ni lijoka au kenge shingoni eti ni mhes...mdomo umekataa kutamka!
 

Katika ubora wako!
 
Wema akipata huo ubunge I wont n never be surprised manake huko ccm vyeo vingi tena zaidi ya 90% vya wanawake ni vya vyupi, nayeye wema si mchoyo asilani anauwezo wa kuwagawia wakuu wa idara zote.
 
Aiseeee... Sipati photo wema na ule mchata wake cjui ni lijoka au kenge shingoni eti ni mhes...mdomo umekataa kutamka!
Hivi waheshmiwa wanaruhusiwa hizo?najua ni against code of conduct au wenyewe ni poa
 
Wema akipata huo ubunge I wont n never be surprised manake huko ccm vyeo vingi tena zaidi ya 90% vya wanawake ni vya vyupi, nayeye wema si mchoyo asilani anauwezo wa kuwagawia wakuu wa idara zote.

Mwaka huu ni mgumu hata atoe 0713 kina mangula na kinana hawapitishi hilo jina.....2010 wauza k waliingia wengi na hamna chochote wamefanya wakiwa bungeni ni kuuza 2 kay mpka bunge linaisha
 
Duh! Hafaham kwamba ccm inakufa? Wajiandae kisaikolojia kuachia nchi.
 
Na mimi nimesoma nikataka kuuliza, huyo ni meneja wake sijui mfanyakazi wake anatangaza naona hata hawajui wote wanataka nini bali ubunge tu.

Hahahaaa hawajui wanataka nini bali ubunge tu! Umejua kunichekesha sana.
 
Hakika Wema akiwa Mbunge ....nitashangaa sana....! Lakini kwa kule singida hawezi pata na sidhani kama ana harakati zozote kwa Chama cha mapindizu!

Singida ni kwetu, japo siishi huko lakini nafuatilia sana siasa za huko, kuna wanawake wameshafanya mengi sana ndani na nje ya vyama vyao, sidhani kama itakuwa rahisi kwa Wema kupitishwa, anyway nisiwe mtabiri sana, let her try labda atafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…