Brazakak naona umedandia train kwa mbele! Angalia utaburuzwaaa bureee!
Mimi nilikua nimeongelea katika context ya nani wa kumpigia kura katika tuzo za MTV.
Umenijia na waraka....ndefu sipendiiii.
Ivi umesoma? Hawa ni wazee wa kukurupuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brazakak naona umedandia train kwa mbele! Angalia utaburuzwaaa bureee!
Mimi nilikua nimeongelea katika context ya nani wa kumpigia kura katika tuzo za MTV.
Umenijia na waraka....ndefu sipendiiii.
okay
ana haki ya kugombea kama mtanzania mwingine
na wachaguaji wana wana haki ya kuchagua au kuacha
hakuna haja ya kutukanana matusi ivo..
Are you sengerema maaana hujitambui mama kuku was mdondo
kimboka yote itamchagua awe mbunge wao, kama ni hivyo hata mimi nampa kura yangu na si vinginevyo! Puuuuuuuuuuuuuuuuu! Nchi hii????? Aliyeturoga atusamehe wallahi!
Kaka yako amepewa ufalme wa tembo, wewe jiandae kupewa ufalme wa nyani. Jackass.
Teh teh wewe si ndie uliyekuwa unapomba Diamond na CCM yake?? Wewe si ndie ulikuwa unaponda Diamond kuimba kubwagizo cha katiba ya CCM?? Kunani tena best??
Umewahi kuangushiwa miti IPO siku ushamba utakutokaWewe kwa kujitoa ufahamu na vimatusi vyako juzi ulijifanya umenivaa eeeh. Usie fuzwa ukafunzika. Jichizishe tu.
Umewahi kuangushiwa miti IPO siku ushamba utakutokaWewe kwa kujitoa ufahamu na vimatusi vyako juzi ulijifanya umenivaa eeeh. Usie fuzwa ukafunzika. Jichizishe tu.
Umewahi kuangushiwa miti IPO siku ushamba utakutoka
Kuishi maisha y a kutegemea akili za watu kaaazi kweli kweli... bora. Uwe mkazi was nke ge
Sssh huna dogo jamani! Lols
Miss you
nakwambia these things only in tanzania! Mmmmxxxxiiiieeewwwww! Kuna vitu vinauma mnoooooo!
Ubunge wa VITU maalum
.....athaliHa haaa kama vitu gani
Ha haaa kama vitu gani
.....athali
Huvijui tuuu