Wema Sepetu kwanini anadanganya umri? Ushahidi huu hapa

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Juzi akiwa anasherehekea birthday Wema akadai kuwa ana miaka 33.


Lkn vyanzo vingine vya taarifa za kuaminika zinaonesha tofauti. Mfano Wikipedia inaonesha Wema amezaliwa 1988 na kumfanya Wema kuwa na miaka 35. Na hii inaleta mantiki ya kwamba alipokuwa anashiriki Miss Tanzania 2006 alikuwa na miaka 18.

 
Wikipedia hata wewe unaweza ukaingia na kuhariri. Pia umri wa Wema unakusaidia nini? Hebu jitafute achana na kufuatilia mambo ya watu
 
Umri wa Wema na Jokate ni sawa,wote ni 1987! Kama anabisha aje inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…