Wema Sepetu kwanini anadanganya umri? Ushahidi huu hapa

🤣🤣🤣🤣🙌🙌bongo noma
Kalpana
 

Attachments

  • IMG-20231011-WA0021.jpg
    80.5 KB · Views: 3
Labda alidanganya umri ili aweze kushiriki Miss Tanzania kumbuka Wikipedia sio trusted sources mtu yoyote anaweza kupost kitu kwenye website yake halafu anakitumia kama source kwenye entry ya wikipedia. Msema kweli hapo ni mama yake.
 
hata angesema ana miaka 25 poa tu, hasa kama itamsaidia kwenye kazi zake
Tuache kufuatilia maisha Binafsi ya watu
 
Wikipedia sio credible source, hata wewe unaweza kuedit hizo taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…