Wema Sepetu kwanini anadanganya umri? Ushahidi huu hapa

Wema Sepetu kwanini anadanganya umri? Ushahidi huu hapa

kuna mamb ukiyasikia unaweza kucheka[emoji2][emoji2] kama hili la wema kuwa na miaka 33 ***** hata mama ake nae alikuwepo yaan anasheherekea party fake ndo maan aliamua kuvuruga maan kamchoka kufake maisha na umri
 
Juzi akiwa anasherehekea birthday Wema akadai kuwa ana miaka 33.

View attachment 2768144
Lkn vyanzo vingine vya taarifa za kuaminika zinaonesha tofauti. Mfano Wikipedia inaonesha Wema amezaliwa 1988 na kumfanya Wema kuwa na miaka 35. Na hii inaleta mantiki ya kwamba alipokuwa anashiriki Miss Tanzania 2006 alikuwa na miaka 18.

View attachment 2768866
Yaani Mimi niwe na 57 sasa Yeye awe in her 30's? Aache Kutudanganya Watu wenye Akili zetu hapa duniani.
 
Back
Top Bottom