pamoja na Sinta na yule aliekuwa Miss kinondoni akaja kuwa Miss Tanzania.Wema alikuwa pisi kalii sana miaka ya 2006.
wale warembo wa wakati ule ambao hata Naibu Mh. Mwana FA aliwaimba walikuwa visu kweli kweli
Tulikuwa tukiokota foreign perdiem za Hayati Mzee Mkapa tulikuwa tunapita pita vyuoni kupambana na msongo wa mawazo
siku hizi binti ana miaka 19 lakini analimkanda la kukaza tumbo kuficha minyama iliyotepeta