Wazo Langu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 1,381
- 842
Uwiii binamu utanifanya nilie atiii dahh
Sipati picha siku akija jukwaa la Siasa atakavyo kimbizwa hahahhaha
lakini ninacho msifu ana mchango mkubwa sana kwenye jukwaa hili maana yeye ndio amechangia limekuwa moja ya majukwaa ambayo mtu uwezi kuacha kupita hata kama hutochangia.....sasa hivi ni Moja ya majukwaa jf yenye jam la kutosha!
Binamu nimeona mambo yako kwenye uzi wa ndomo,umetisha buana,mpaka uzi umekuwa wa warumi aisee we ni nyoko..
Ni kweli
hivi kaigiza moovieee gani mwaka huu. ujue anaigizaka vizuri sema domo kachukua nyota yake
Kweli, na mimi ni mmoja wapo
Nampenda wemaaaa , alivyoachana na ndomo ndomo ndo nimependaa zaidi
si ndio kamuona wemaa??? acha wivu banaaBinamu wewe nae haujaona wa kuwapenda????
mi pia umeniudhi binamu ht km unampenda mi siingii sichangii tena hapa
Mi na yeye unampenda nani zaidiiii?????????? La sivyo urafiki unaishia hapa hapaa leoo
plzzzzzzTena tuondokee tumuachie liuzi lakeeee,,tusirudii
Aaaah aaaaah binamu mimi na wewe miaka miaaa, wema nampenda tu anavyoongea ni mzur kwa kwel, ndomo akae pemben tu atulie akina mkongo wajilie vyao
We mbona unampenda ndomo mi sikasiriki, we unafikir mi siumii ehh
Tunampa promo tu hapa tuondoke liuzi limdodeee mfyuuuuu
Basi na wewe mfanyie ujeuri, msifie sana Wema ili na yeye aumie leo hahaha
nasubiri uzi wa fanz wa le mutuz!