Wema Sepetu "Madame" Fans' Special Thread, Njooni tukutane hapa

Wema Sepetu "Madame" Fans' Special Thread, Njooni tukutane hapa

hivi kaigiza moovieee gani mwaka huu. ujue anaigizaka vizuri sema domo kachukua nyota yake
 
Sipati picha siku akija jukwaa la Siasa atakavyo kimbizwa hahahhaha

lakini ninacho msifu ana mchango mkubwa sana kwenye jukwaa hili maana yeye ndio amechangia limekuwa moja ya majukwaa ambayo mtu uwezi kuacha kupita hata kama hutochangia.....sasa hivi ni Moja ya majukwaa jf yenye jam la kutosha!

Ni kweli
 
Nampenda wemaaaa , alivyoachana na ndomo ndomo ndo nimependaa zaidi

hapo kwenye kumpenda wema tupo wote binamu lakini hapo kwenye kuachana na dai pita hivi, mi nipite vile sitakii kabisaaa waachane.
 
Aaaah aaaaah binamu mimi na wewe miaka miaaa, wema nampenda tu anavyoongea ni mzur kwa kwel, ndomo akae pemben tu atulie akina mkongo wajilie vyao

hahahahaaa maneno kuntu warumi toa yako ya moyoni mwaya, hata dina akinuna untajua jinsi ya kumtuliza.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom