Wema Sepetu, mimba imetoka tena?

Wema Sepetu, mimba imetoka tena?

princewilly

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
259
Reaction score
528
Hii ndio picha aliyopost leo ikionyesha mwanamke ambaye anatoka damu
Screenshot_20180417-211736.jpg
 
Tatizo lake ni kufanya kila kitu kwenye maisha yake public... huyu dada yeye hana maisha private kila kitu ni kuweka insta..
Wadau wakianza kumtukana analalamika wakati kayataka mwenyewe..

Angalia watu kama jokate hana mtoto lakini hakuna anaemuandama kwa sababu kaweka mipaka ya maisha ya insta na maisha binafsi..

Asipojifunza huyu wema atakuja kufa kwa depression
 
Back
Top Bottom