Wema Sepetu, mimba imetoka tena?

Wema Sepetu, mimba imetoka tena?

Enzi anachoropoa tulionekana vibibi na tulitukanwa kwa kuzaa mapema tunabeba wanetu saiv yeye anakomaa na midoli na kulea mbwa na uzee juu

Pole yake
Ila hatuna ushahidi kama alitowa.
 
Alishakiri kutoa mimba huko nyuma

Sijasema kuzaa ni kupata lkn huyu mtu wako huyu ni funzo kwa watoto wa kike wote wanaoflash watoto vyooni
Maskini.Angejua asingesema.Watu hamsahau[emoji23]
 
Hv mbn n yy tu anahaha kila
Saa mbn mwenzie jide katulia


Utadhan amezaa yy yote
Kwamwachia aliemuumba

Huyu kifaranga mbn anahangaika
Kama alitolewa kizaz
Attention seeker!Huwa ni ugonjwa kabisa.
 
Mi si ninasikia wema alisoma internation schools ndio maana kingereza kinapanda sana
teh..teh... tukiwa shule kingereza ni muhimu kwa kuwa kinasaidia kujibu mtihani sasa issue ni kufanya tafsiri ya elimu ifanane na shule au cheti ulichonacho ndo hapo inapokuwa shida.
 
Tatizo lake ni kufanya kila kitu kwenye maisha yake public... huyu dada yeye hana maisha private kila kitu ni kuweka insta..
Wadau wakianza kumtukana analalamika wakati kayataka mwenyewe..

Angalia watu kama jokate hana mtoto lakini hakuna anaemuandama kwa sababu kaweka mipaka ya maisha ya insta na maisha binafsi..

Asipojifunza huyu wema atakuja kufa kwa depression
Umesema ukweli kabisa
 
Usihukumu, kuzaa sio kupata.

Nawaombea wote watafutao watoto wakajaaliwe nao waweze kupata haijalishi ni sababu gani imesababisha wao kutozaa.
Watanzania tuache unafiki mtu kama Tunda anavyozichoropoa hizo mimba mmepiga kimya na kumsifia,siku anakuja kutamani kupata mtt inakuwa ngumu raia wakimsema kwa alichokuwa anafanya mnaanza kusema ohh usihukumu ww sio Mungu,kama huyo Wema mimba zake alie chips enzi hizo leo akiambiwa Ukweli eti usihukumu
 
Acha sympathy za kishamba ww Mungu hazihakiwi kiivyo yeye kaumba ukipata mimba zaa nasio kuua Mambo ya uzaz siyo ya kuyachukulia poa ni bora ungesema kwa mtu ambaye hazai naturally wew
Usisahau tu kuwa Mungu sio mwanadam, 1+1=sio 2 kwake. Akiomba Mungu anamskia kama anavyokuskia wewe. Hivyo pamoja na mapungufu yake anaweza kujibiwa sala zake vilevile
 
pole sana Wema!
wakati mwingine anahitaji faraja yenu kwa yanayomtokea hivyo si busara sana kumsukuma anapowalilia mshaurini nini cha kufanya hali yake ni mbaya anaweza kujiua kwa maumivu ya ndani asipopata msaada wa karibu.
Anatakiwa ajiue who's care labda wazazi wake,anatafuta huruma za wananchi ila wakati anazichoropoa naamini kuna waliomuonya ila alidharau
 
do! we noma ingekuwa umungu unazamu zamu yako tungekoma!
Hamna mkuu,wanajitoa ufahamu tuu hata huko shule huwa wanaelezwa kbs kutoa mimba ni kurisk coz mimba inaweza kuchomoka na kizazi ila hawaelewi wacha wapambane na hali
 
Hamna mkuu,wanajitoa ufahamu tuu hata huko shule huwa wanaelezwa kbs kutoa mimba ni kurisk coz mimba inaweza kuchomoka na kizazi ila hawaelewi wacha wapambane na hali
ukweli hili swala linanikera kwelikweli sijui hata huruma naitoa wapi siku hizi nafikiri utu uzima tena nimeanza kubadilika
 
Back
Top Bottom