mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
si alitoaga mimba ya kanumba sasa sahivi zinaamua kutoka zenyewe analalamika nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aunty Ezekiel alitoa na akapata mtoto.Alishakiri kutoa mimba huko nyuma
Sijasema kuzaa ni kupata lkn huyu mtu wako huyu ni funzo kwa watoto wa kike wote wanaoflash watoto vyooni
Sijahukumu aiseeAunty Ezekiel alitoa na akapata mtoto.
Tunakumbushana tu tuache kuhukumu.
Acha sympathy za kishamba ww Mungu hazihakiwi kiivyo yeye kaumba ukipata mimba zaa nasio kuua Mambo ya uzaz siyo ya kuyachukulia poa ni bora ungesema kwa mtu ambaye hazai naturally wewUsihukumu, kuzaa sio kupata.
Nawaombea wote watafutao watoto wakajaaliwe nao waweze kupata haijalishi ni sababu gani imesababisha wao kutozaa.
Mshangae na wewe kila siku kutupigia kelele wakati alithamini anasa kuliko mtoto leo yako wapi!!!si alitoaga mimba ya kanumba sasa sahivi zinaamua kutoka zenyewe analalamika nini
Alizotoa wema ant EzekielAunty Ezekiel alitoa na akapata mtoto.
Tunakumbushana tu tuache kuhukumu.
SawaAlizotoa wema ant Ezekiel
Hata robo hamfikii
Kwa mtu ambae amezaliwa na ugumba namuombea kwa moyo wote ajaaliwe kupata mtotoAcha sympathy za kishamba ww Mungu hazihakiwi kiivyo yeye kaumba ukipata mimba zaa nasio kuua Mambo ya uzaz siyo ya kuyachukulia poa ni bora ungesema kwa mtu ambaye hazai naturally wew
Sawa nina sympathy za kishamba wewe una za kijanja.Acha sympathy za kishamba ww Mungu hazihakiwi kiivyo yeye kaumba ukipata mimba zaa nasio kuua Mambo ya uzaz siyo ya kuyachukulia poa ni bora ungesema kwa mtu ambaye hazai naturally wew
HahahahahaaHuyu naye anatuchosha na drama zake. Aungane na bashite huko wabembelezane
Yap ni sawa nakusema etii upuuzi alofanya nandy eti tuanze kumuonea huruma eti this is bullshitSawa nina sympathy za kishamba wewe una za kijanja.
AsanteeeYap ni sawa nakusema etii upuuzi alofanya nandy eti tuanze kumuonea huruma eti this is bullshit
Utavuna ulichopanda nasisi kusema lazima huwez sema tunahukumu
Sure ujue hawa ma fuckin celebrity watapeleka watu wengi sana motoni yaani unakuta jitu linatetea ungese kabisaAsanteee
HahahaaaaEnzi anachoropoa tulionekana vibibi na tulitukanwa kwa kuzaa mapema tunabeba wanetu saiv yeye anakomaa na midoli na kulea mbwa na uzee juu
Pole yake
ujana maji ya moto sasa ujana umeisha (maji yamepoa) anaanza kutusumbua akafie mbele na hii iwe funzo Kwa wasichana woteMshangae na wewe kila siku kutupigia kelele wakati alithamini anasa kuliko mtoto leo yako wapi!!!