mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
ch
onka Rutta olwana. nebintu ebitaine magezi nobilwanila??wewe ni shujaa wa keyboard
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
onka Rutta olwana. nebintu ebitaine magezi nobilwanila??wewe ni shujaa wa keyboard
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tusipotezwe na Kiki za KIBASHITE ,Tarehe 26 kama kawa.
Huyu sasa anahitaji aje kwangu mipige misumari. Mbegu zangu hufuata yai popote lilipo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mods uzi kama huu hamfuti ila nyuzi zangu mnazifuta kweli
tatizo shule!Tatizo lake ni kufanya kila kitu kwenye maisha yake public... huyu dada yeye hana maisha private kila kitu ni kuweka insta..
Wadau wakianza kumtukana analalamika wakati kayataka mwenyewe..
Angalia watu kama jokate hana mtoto lakini hakuna anaemuandama kwa sababu kaweka mipaka ya maisha ya insta na maisha binafsi..
Asipojifunza huyu wema atakuja kufa kwa depression
Factwewe ni shujaa wa keyboard
Jokate anazijua lecture rooms wakati huyu anazingua saloon na bed rooms tu.Tatizo lake ni kufanya kila kitu kwenye maisha yake public... huyu dada yeye hana maisha private kila kitu ni kuweka insta..
Wadau wakianza kumtukana analalamika wakati kayataka mwenyewe..
Angalia watu kama jokate hana mtoto lakini hakuna anaemuandama kwa sababu kaweka mipaka ya maisha ya insta na maisha binafsi..
Asipojifunza huyu wema atakuja kufa kwa depression
Mi si ninasikia wema alisoma internation schools ndio maana kingereza kinapanda sanatatizo shule!
Kuna watu hata wakijamba tu,wanataka na watu wengine wajue.Ni hulka tu nafikiri.Tatizo lake ni kufanya kila kitu kwenye maisha yake public... huyu dada yeye hana maisha private kila kitu ni kuweka insta..