Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Drama queen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hiyo utakuwa mweupe ghafla kwa mfadhaiko. Hakuna lolote litakalotokea, pole sana. Makamanda tumeshasahau, sasa hivi ni 1.5 tu, ha ha ha. Keshokutwa tunarukia kiki nyingine.Tusipotezwe na Kiki za KIBASHITE ,Tarehe 26 kama kawa.
Kuna kibinti, mimba imechomoka na kizazi then roho imefata.... Apumzike kwa amaniHamna mkuu,wanajitoa ufahamu tuu hata huko shule huwa wanaelezwa kbs kutoa mimba ni kurisk coz mimba inaweza kuchomoka na kizazi ila hawaelewi wacha wapambane na hali
Ona sasa hii niniKuna kibinti, mimba imechomoka na kizazi then roho imefata.... Apumzike kwa amani
Kwa kweli my dear. Ila yote ni kwa neema tuu tunashukuru Mungu kwa kutujalia watotoEnzi anachoropoa tulionekana vibibi na tulitukanwa kwa kuzaa mapema tunabeba wanetu saiv yeye anakomaa na midoli na kulea mbwa na uzee juu
Pole yake
Zari ana watoto wa5 na ni mrembo kumshinda yy ndo kwanza anazidi kuwa kama biringanyaMshangae na wewe kila siku kutupigia kelele wakati alithamini anasa kuliko mtoto leo yako wapi!!!
Unamaneno makali [emoji1] [emoji1] [emoji1]Enzi anachoropoa tulionekana vibibi na tulitukanwa kwa kuzaa mapema tunabeba wanetu saiv yeye anakomaa na midoli na kulea mbwa na uzee juu
Pole yake
Kuliko uuaji alioufanya?? Kakiri mwenyewe halafu nimuonee huruma ya nini?Unamaneno makali [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Amina sisKwa kweli my dear. Ila yote ni kwa neema tuu tunashukuru Mungu kwa kutujalia watoto
Hatari tupuZari ana watoto wa5 na ni mrembo kumshinda yy ndo kwanza anazidi kuwa kama biringanya
Leo hii anataka mungu ampe mtoto [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuliko uuaji alioufanya?? Kakiri mwenyewe halafu nimuonee huruma ya nini?
Hapo sasaLeo hii anataka mungu ampe mtoto [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Apambane na hali yake yeye aendelee kulea midoli na mbwa maana ndio maisha aliyo yachaguaHapo sasa
Enzi anachoropoa tulionekana vibibi na tulitukanwa kwa kuzaa mapema tunabeba wanetu saiv yeye anakomaa na midoli na kulea mbwa na uzee juu
Pole yake