princewilly
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 259
- 528
wewe ni shujaa wa keyboardTusipotezwe na Kiki za KIBASHITE ,Tarehe 26 kama kawa.
Hahah!!Enzi anachoropoa tulionekana vibibi na tulitukanwa kwa kuzaa mapema tunabeba wanetu saiv yeye anakomaa na midoli na kulea mbwa na uzee juu
Pole yake
Tena uongo uliotukuka.....kanatafuta public sympathy...Hahaaaa!wema acha uongo bwana!
Hajaelewa... Then Wema si mtu wa kumuamini! Ni drama queenUmeelewa lakini? Au unaangalia picha tuu?
Nipo Fiti Rutta.wewe ni shujaa wa keyboard
Mkuu kwani wewe ni mwanamke?Enzi anachoropoa tulionekana vibibi na tulitukanwa kwa kuzaa mapema tunabeba wanetu saiv yeye anakomaa na midoli na kulea mbwa na uzee juu
Pole yake
SijuiMkuu kwani wewe ni mwanamke?
Usihukumu, kuzaa sio kupata.Enzi anachoropoa tulionekana vibibi na tulitukanwa kwa kuzaa mapema tunabeba wanetu saiv yeye anakomaa na midoli na kulea mbwa na uzee juu
Pole yake
Alishakiri kutoa mimba huko nyumaUsihukumu, kuzaa sio kupata.
Nawaombea wote watafutao watoto wakajaaliwe nao waweze kupata haijalishi ni sababu gani imesababisha wao kutozaa.