Wema Sepetu, mimba imetoka tena?

Huyu sasa anahitaji aje kwangu mipige misumari. Mbegu zangu hufuata yai popote lilipo.

Ndio kusema Umeshafail kabla ya kuanza, au ni shida ya kuelewa? Yeye hana Shida ya Mbegu, shida ni Mimba haikai
 
Ustaaa kazi na hili mpaka uliseme nalo!haya bwana
 
tatizo shule!
 
Tukumbuke HUYU NI MSANII!
 
pole sana Wema!
wakati mwingine anahitaji faraja yenu kwa yanayomtokea hivyo si busara sana kumsukuma anapowalilia mshaurini nini cha kufanya hali yake ni mbaya anaweza kujiua kwa maumivu ya ndani asipopata msaada wa karibu.
 
Jokate anazijua lecture rooms wakati huyu anazingua saloon na bed rooms tu.
 
Kuna watu hata wakijamba tu,wanataka na watu wengine wajue.Ni hulka tu nafikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…