shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
Mange snich na alivyokuwa na njaa siku hizi kumnunua ni simpo tuMange kimambi hawezi mchoma Wema Sepetu maana anamteteaga kwa nguvu zote mdogo wake
Kuna mtu juzi alikuwa instagram anatema ngeli,sijui mother f nyingi, nadhan ni suala la muda tu mother f watamtia ndaniHii list inawezekana mkuu wa mkoa alishuka nayo kutoka Unyamwezini baada ya kuonana na Mange Kimbambi.
Ulisahau mzee wa msoga aliwahi kusema ana majina ya wauza unga ila hakuwahi kuwataja.Kumbe!
Sasa ya nini kufunga mlango kwa nje na kuanza kuupiga piga ili umtishe aliyelala ndani na hajajifungia kwa ndani??
Wakati hao wakipelekana kutoka wa nne mpaka wa pili huyo kwanza atakua yupo tu kusubili kukamatwa?,acheni basi kurahisisha mamboAkitupeleka kwa mtu WA nne, mtu huyo WA nne atatupeleka kwa mtu WA 3 naye WA tatu atatupeleka kwa mtu2 chain itaenda hadi kwa boss mwenyewe....!!
Madawa mubasharaLeo hakuna mapenzi MUBASHARA kabisa clouds?[emoji15]
Yupo katajwaSijamuona Chid Benzi hapo
Mkuu chidi Benz ndo ridhwan au?Sijamuona Chid Benzi hapo
Hahahhh Mkuu umemaliza! Makonda anayo list ya wahusika atailipua tu!Hii list inawezekana mkuu wa mkoa alishuka nayo kutoka Unyamwezini baada ya kuonana na Mange Kimbambi.
Msipende kutishana bila sababu, walishafanya tukio gani hasa la kutisha?Huo "mtandao" si watu wa spoti spoti.