Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Issue sensitive kama hii, hiyo document ingekuwa na muhuri, sahihi au chochote cha kuipa uzito. Na pia hao watu wangetajwa kwa majina yao ya kiserikali, siyo ya 'kihuni/kisanii'. I highly doubt the reliability of this. Yeyote anaweza kuchapisha listi kama hiyo.

In these times of social media cancer, it's high time Tanzania invested in educating about the qualities of information.
 
Kama wakiweza kuwadhibiti polis wanaohusika kwa njia moja au nyingine kufanikisha biashara hii haramu, italeta tofauti. Tatizo sio wauzaji, tatizo ni wanaotakiwa kuzuia wanapoamua kushirikiana na wauzaji.

Issue nyingine ni watu wenye nyadhifa kubwa serikalini. Hawa baadhi ndio malord. Wakipigwa pin hawa baaaas
 
Kumbe!
Sasa ya nini kufunga mlango kwa nje na kuanza kuupiga piga ili umtishe aliyelala ndani na hajajifungia kwa ndani??
Ulisahau mzee wa msoga aliwahi kusema ana majina ya wauza unga ila hakuwahi kuwataja.
 
Akitupeleka kwa mtu WA nne, mtu huyo WA nne atatupeleka kwa mtu WA 3 naye WA tatu atatupeleka kwa mtu2 chain itaenda hadi kwa boss mwenyewe....!!
Wakati hao wakipelekana kutoka wa nne mpaka wa pili huyo kwanza atakua yupo tu kusubili kukamatwa?,acheni basi kurahisisha mambo
 
Mgombea ubunge wema yumo daaah kweli huyu nae eti alikua anataka awakilishe watu kupitia viti maalum! Daahh nakupenda burr makonda kuanzia Leo! Ukiwin hili utaandikwa ktk vitabu vya historian ya nchi hii watoto wetu wake wakusome habari zako
 
Hivi hawa ndio wote kweli manake usikute wanaonewa wakubwa hasa wale waliotuhumiwa wanaofanya kazi za kuombea watu kilokole hawashikwi...
 
Sasa team wema.ni wakati wa kuonyesha upendo kwa bosi wetu tumsindikize police post.
 
Naam sasa hii aliyoianza makonda ndo vita sasa akifanikiwa hawa nitajua kweli yeye ni simba wa vita.
 
Back
Top Bottom