Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeongea nnWatanzania wengi watasherehekea habari kama hii,lakini kwa ukweli dhana ni kitu kibaya sana,kama mtu hajakamtwa na ushahidi wa kufanya hayo mambo ya madawa ya kulevya basi ni kosa kumtaja jina lake ,huu ni udhalilishaji wa haki ya mtu..
Nafikiri nchi yetu ina vyombo vinavyohusika na makosa kama haya,kwanini mkuu wa mkoa haachii hizo mamlaka zikafanya kazi yake...,Tanzania yunakwenda wapi,kama polisi wanaushahidi kwanini hawawakamati hao wahusika na kuwapeleka mahakamni...
mkuu ili utumie ngada lazima uwe na mshiko.Babuu wa kitaa so amepata Kazi anatangaza clouds TV, kipindi cha tegua mtego,
Madawa ya nini sasa
Huwezi kufahamu,unatakiwa uwe na kiwango cha juu cha uwezo wa kufahamuMkuu umeongea nn
Na mimi ndio nilichokuwa najiuliza,!!?ivi clouds fm ndo radio ya taifa siku izi
Muna anautajir wa harakaWamemsahau Muna kistuli...Wema atusaidie.
Siasa hazijengi mkuuHuwezi kufahamu,unatakiwa uwe na kiwango cha juu cha uwezo wa kufahamu
Hata vyombo vya IPP havipo hapo anapoelezea, nadhani huyu jamaa huwa anapata publicity kupitia vyombo kama ulichokitajaInakuwaje Clouds FM... na si vyombo vingine vya habari..!?
Yap huyo huyoHuyu salaah ndo alietajwa na FA kwenye ile dume suruali.
Kweli kabisaNazani wcb wapo nyuma ya hii inshu em tuendelee kuona yatakayo jiri
Nenda kawakamate wew hao majogoo.Wako Busy na Vifaranga. poor Makonda