Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada kila superstar wa kwako olewa basi tule pilau
Hii wema septu aliirushaga instagram alijisahau hakurusha kwa account feki.
Alipo jigundua kuwa kachemka duh alitoa fasta fasta...ila alichelewa sekunde hata 30 seconds ni nyingi. Ona sekunde hapo....
(Hii picha ilisharushwa humu jamiiforum kabla)
Hii wema septu aliirushaga instagram alijisahau hakurusha kwa account feki.
Alipo jigundua kuwa kachemka duh alitoa fasta fasta...ila alichelewa sekunde hata 30 seconds ni nyingi. Ona sekunde hapo....
(Hii picha ilisharushwa humu jamiiforum kabla)
Hyo account ipo edited siyo ya wema angalia vizuri wemasepe na hiyu ya mwisho its not wema sepetu account kwa wenye uelewa ndio watajua vizuri
Hyo account ipo edited siyo ya wema angalia vizuri wemasepe na hiyu ya mwisho its not wema sepetu account kwa wenye uelewa ndio watajua vizuri
Hii ya screenshot ya leo nimetoa kwa acc yake jina si hilohilo atiiiii
Ila duh sura yake yaani ngozi haswa inaonyesha mawazo mastress yanammaliza
Wema hawezi kuzaa katoa mimba 8 ninazojua mimiVidonge
Wasichana au warembo wengi wanapenda kuonekana weupu, zamani walikua wakitumia madawa mkorogo. Huu ulikua na madhara ya ngozi, lakini hauna matatizo kwenye uzazi. Lakini pia ilikua unamuona mwanamke uso kama mzungu ukimuangalia miguu utafikiri ana rangi mbili.
Siku hizi kuna vidonge. Hivi vidonge wanakula kila baada muda na hivyi mrembo anakua mweupeee mwili mzima , ile rangi yake nyeusi hupotea kabisa.
Njia hii husababisha pigment ya ngozi kujikusanya sehemu moja mwilini na sana ni kwenye tumbo utakuta mrembo ana weusi fulani. Ile ni ile rangi ya ngozi baada ya kula vidonge vya mchina.
Madara yake hivi vidonge ni kuharibu kabisa utoaji wa mayai kwa mwanamke, hata kama anapata siku zake lakini mayai yanakufa kabla ya ku mature.
Warembo wengi wenye kutumia mkorogo wa vidonge wameathirika na uzazi.
Hivyo ni kuwaasa warembo wetu kuwa mbona black is beauty ? Mbona rangi nyeusi inayo tunzwa vizuri is more sexy than weupe?
Hivi kweli wanaume wanapenda weupe siku hizi ?
Nadahni waache kasumba hii wajivunie weusi wao
Dada Wema pole.
Hata hivyo bado Mungu hajashindwa. Tafuta KANISA lolote la kilokole au ni PM nikuelekeze ukafanyiwe maombi. Mkumbuke Sarah mke wa Ibrahim alizaa akiwa amevuka menopause. Mkumbuke pia Hannah n.k
Haijalishi ulifanya nini ukitubu Mungu anasamehe. Aliyemsafi na akurushie jiwe!!!!!
Kutoka 23:25-26
Nanyi mtamtumikia Bwana, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako. Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza.
Queen Esther