Wema Sepetu: Sina uwezo wa kuzaa

Wema Sepetu: Sina uwezo wa kuzaa

Na huyo zari mimba moja picha elfu haya subiri yatokee mengine tuone kama ata piga picha elfu
 
Kwanza aolewe maana unaweza kuta ni mitihani ya m/Mungu tu hiyo..
 
Maana anapenda kujiaibisha kila kukicha angalia fiesta2014 mwanza walicheza kitorondo wanaitana bby haya sasa tatizo nyota
 
Hivi hana uwezo wa kuzaa anajatibisha kupata mimba na nani? As kama mie sijawahi ona anasema huyu bwana wake au at least mchumba watafunga ndoa. Sasa maneno hayo yote nani analala nae mchana na usiku? Mie nashangaaaaaaaaaaa

Bila kusahau ameshazitoa za waliopita.
 
sio lazima azae anaweza adopt mtoto dunia ina watu 7billions we need no more rabbits.
 
Vidonge
Wasichana au warembo wengi wanapenda kuonekana weupu, zamani walikua wakitumia madawa mkorogo. Huu ulikua na madhara ya ngozi, lakini hauna matatizo kwenye uzazi. Lakini pia ilikua unamuona mwanamke uso kama mzungu ukimuangalia miguu utafikiri ana rangi mbili.
Siku hizi kuna vidonge. Hivi vidonge wanakula kila baada muda na hivyi mrembo anakua mweupeee mwili mzima , ile rangi yake nyeusi hupotea kabisa.
Njia hii husababisha pigment ya ngozi kujikusanya sehemu moja mwilini na sana ni kwenye tumbo utakuta mrembo ana weusi fulani. Ile ni ile rangi ya ngozi baada ya kula vidonge vya mchina.
Madara yake hivi vidonge ni kuharibu kabisa utoaji wa mayai kwa mwanamke, hata kama anapata siku zake lakini mayai yanakufa kabla ya ku mature.
Warembo wengi wenye kutumia mkorogo wa vidonge wameathirika na uzazi.
Hivyo ni kuwaasa warembo wetu kuwa mbona black is beauty ? Mbona rangi nyeusi inayo tunzwa vizuri is more sexy than weupe?
Hivi kweli wanaume wanapenda weupe siku hizi ?
Nadahni waache kasumba hii wajivunie weusi wao
 
I think huyu bidada kuna move anatuchezea!!seriously mtu gan anayeweza tangaza waziwaz hazai mwenye umri wa wema kuwa hazai??zaidi ya kina jide na kina millen magese...??huyu bidada anAtuchezea bongo move kwa hili..
 
Hii wema septu aliirushaga instagram alijisahau hakurusha kwa account feki.

Alipo jigundua kuwa kachemka duh alitoa fasta fasta...ila alichelewa sekunde hata 30 seconds ni nyingi. Ona sekunde hapo....

(Hii picha ilisharushwa humu jamiiforum kabla)
 
Attachments

  • 1429158795989.jpg
    1429158795989.jpg
    39.9 KB · Views: 221
Hii wema septu aliirushaga instagram alijisahau hakurusha kwa account feki.

Alipo jigundua kuwa kachemka duh alitoa fasta fasta...ila alichelewa sekunde hata 30 seconds ni nyingi. Ona sekunde hapo....

(Hii picha ilisharushwa humu jamiiforum kabla)

Ndio maana pwanya road huwa wanafikiri kuwa kila celeb ana muda wa kufungua account fake.!!
Aibu sana kumbe anamfatilia na kumsoma kimya kimya...
 
Hii wema septu aliirushaga instagram alijisahau hakurusha kwa account feki.

Alipo jigundua kuwa kachemka duh alitoa fasta fasta...ila alichelewa sekunde hata 30 seconds ni nyingi. Ona sekunde hapo....

(Hii picha ilisharushwa humu jamiiforum kabla)

Hyo account ipo edited siyo ya wema angalia vizuri wemasepe na hiyu ya mwisho its not wema sepetu account kwa wenye uelewa ndio watajua vizuri
 
pole mdogo wangu Wema ,

Mungu anaweza nenda pale ubongo kibangu kwa mzee wa upako atakuombea kwa jina la Yesu tapata mume na mtoto utadhaa. kwa MUNGU hakuna lisilo wezekana
 
Hyo account ipo edited siyo ya wema angalia vizuri wemasepe na hiyu ya mwisho its not wema sepetu account kwa wenye uelewa ndio watajua vizuri

Haipo edited hiyo ni ya wema ilitokaga na watu wali screenshot haraka...imeshazunguka so rangi sio kitu....aliiirushaga live na kuitoa

Na bado account to leo anatumia picha hiyo hiyi...tafuta old threafs utaiona vizuri

Wakati wanamtukana Zari walipoanza kuhisi hana minba au hana ndio hapo...same photo ilirushwa na wafuasi wake wanaojylikana instagram....

Mie nimeikuta insta tena ndio nimeirusha
 
Hyo account ipo edited siyo ya wema angalia vizuri wemasepe na hiyu ya mwisho its not wema sepetu account kwa wenye uelewa ndio watajua vizuri

Hii ya screenshot ya leo nimetoa kwa acc yake jina si hilohilo atiiiii

Ila duh sura yake yaani ngozi haswa inaonyesha mawazo mastress yanammaliza
 
Attachments

  • 1429174313097.jpg
    1429174313097.jpg
    48.8 KB · Views: 188
Vidonge
Wasichana au warembo wengi wanapenda kuonekana weupu, zamani walikua wakitumia madawa mkorogo. Huu ulikua na madhara ya ngozi, lakini hauna matatizo kwenye uzazi. Lakini pia ilikua unamuona mwanamke uso kama mzungu ukimuangalia miguu utafikiri ana rangi mbili.
Siku hizi kuna vidonge. Hivi vidonge wanakula kila baada muda na hivyi mrembo anakua mweupeee mwili mzima , ile rangi yake nyeusi hupotea kabisa.
Njia hii husababisha pigment ya ngozi kujikusanya sehemu moja mwilini na sana ni kwenye tumbo utakuta mrembo ana weusi fulani. Ile ni ile rangi ya ngozi baada ya kula vidonge vya mchina.
Madara yake hivi vidonge ni kuharibu kabisa utoaji wa mayai kwa mwanamke, hata kama anapata siku zake lakini mayai yanakufa kabla ya ku mature.
Warembo wengi wenye kutumia mkorogo wa vidonge wameathirika na uzazi.
Hivyo ni kuwaasa warembo wetu kuwa mbona black is beauty ? Mbona rangi nyeusi inayo tunzwa vizuri is more sexy than weupe?
Hivi kweli wanaume wanapenda weupe siku hizi ?
Nadahni waache kasumba hii wajivunie weusi wao
Wema hawezi kuzaa katoa mimba 8 ninazojua mimi
Kanumba-3
Jumbe-1
Chaz baba-1
Diamond-3
Yaani wakati anaua hakujua kama kuna muda atahitaji mtoto.kilichobaki ni kumuomba mungu tu amfikirie tena lakini kamuudhi sana mungu wake
 
Dada Wema pole.
Hata hivyo bado Mungu hajashindwa. Tafuta KANISA lolote la kilokole au ni PM nikuelekeze ukafanyiwe maombi. Mkumbuke Sarah mke wa Ibrahim alizaa akiwa amevuka menopause. Mkumbuke pia Hannah n.k

Haijalishi ulifanya nini ukitubu Mungu anasamehe. Aliyemsafi na akurushie jiwe!!!!!

Kutoka 23:25-26
Nanyi mtamtumikia Bwana, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako. Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza.

Queen Esther

Aende kwa Tb Joshua....impossible is possible with God
 
Back
Top Bottom