Wema Sepetu: Sitaki kusikia #teamwema, niacheni na maisha yangu

aisee hao TeamWema wajiite TeamPogba...maana hiyo ndio maarufu kuliko zote hapa mjini
 
Usijali nakumbuka kuna siku uliongea point sana
Hizi timu zina panikisha watu bila sababu

*mi mwenyewe mambo ya timu niliacha [emoji87]
Napenda mziki mzuri..halafu sasa hivi sifatilii mziki kiviile!

Mie nasikilizaga nyimbo za zamani kidogo

Team njaa hizi!
Au kuchochea moto sina mda mchafu!..

Ila ukiingia nakupa zako!
 
Mtu mpaka anachora tattoo ya wemasepetu halafu mwanamke. Anaacha kuchora ya mama yake mzazi. Hlf leo ndo kukanwa live [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inauma lkn [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Acha tu!
Wanajipa moyo wenyewe!
 
Mange kamwambia ukweli sifa ya star ni mashabiki bila hao unapotea na kusahaulika, wema umri unamtupa na mvuto pia madanga awamu hii hamna ana panic anatafta wa kumshushia lawama. Ujinga wake alikua star lakini hakuutumia kumake money. Naona atawaomba msamaha hata zari vile vichambo vya timu wema vilimfanya ajulikane fasta na mimba ya tiffah kupata kiki, ndo maana sasa hivi hachabwi kapoa inaonekana kawaida. Hao timu wema ndo wanaomuweka mjini nao wampotezee mazima ili akome, papuchi yake imetumiwa sana làkini hata pakukaa hana.
 
Umemaliza mkuu.
 
Huyo kajiharibia mwenyewe maisha kwa kukosa akili ya maisha mbona dai ana timu na maisha yanaenda.
Zari anafanya white parties zinamwingizia pesa wakati Wema anafanya birthday parties za kummalizia pesa. Kutoka miss Tanzania mpaka kuwa mama vigodoro si mchezo, shikamoo Magufuli.
 
Zari anafanya white parties zinamwingizia pesa wakati Wema anafanya birthda parties za kummalizia pesa. Kutoka miss Tanzania mpaka kuwa mama vigodoro si mchezo, shikamoo Magufuli.
Imagine hela za campaign alizimalizia kwenye birthday party na lile range ambalo TRA walilichukua. Yeye akipata full kutumia haiweki izalishe sasa maisha yakiwa magumu ataacha kutafta wa kumlaumu. Enzi hizi za magufuli mianya ilivozibwa wengi watachanganyikiwa aisee Dada hajui kutumia jina kumake money hata kwenye mambo ya kijamii ka charity hayupo. Hata kupata mwanaume wa maana ngumu MTU ukisha date na dai sijui huwatia nuksi gani, wema Mara kina idriss na alivo na matusi walah atachqnganyikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…