Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
utaliaa[emoji123] [emoji123] [emoji123][emoji87][emoji23]
[emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utaliaa[emoji123] [emoji123] [emoji123][emoji87][emoji23]
[emoji125]
Aaaah [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ngoja nirudi MMU
Aaah [emoji23]utaliaa[emoji123] [emoji123] [emoji123]
Mi nshaachana na timu ni ujinga tu!!Aaaah [emoji23]
Niliona umechafukwa na roho, usijali ingia team tunda kama hance mtanashati
Usijali nakumbuka kuna siku uliongea point sanaMi nshaachana na timu ni ujinga tu!!
Mie mshabiki tu sasa hivi!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kupatwa kwa wema sepetu
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Aaah [emoji23]
Mi naenda kula now
Siongei tena!!
[emoji125]
Napenda mziki mzuri..halafu sasa hivi sifatilii mziki kiviile!Usijali nakumbuka kuna siku uliongea point sana
Hizi timu zina panikisha watu bila sababu
*mi mwenyewe mambo ya timu niliacha [emoji87]
Na kutetemeshwa kwa team WemaKupatwa kwa wema sepetu
Mtu mpaka anachora tattoo ya wemasepetu halafu mwanamke. Anaacha kuchora ya mama yake mzazi. Hlf leo ndo kukanwa live [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inauma lkn [emoji28] [emoji28] [emoji28]Na kutetemeshwa kwa team Wema
Acha tu!Mtu mpaka anachora tattoo ya wemasepetu halafu mwanamke. Anaacha kuchora ya mama yake mzazi. Hlf leo ndo kukanwa live [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inauma lkn [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mange kamwambia ukweli sifa ya star ni mashabiki bila hao unapotea na kusahaulika, wema umri unamtupa na mvuto pia madanga awamu hii hamna ana panic anatafta wa kumshushia lawama. Ujinga wake alikua star lakini hakuutumia kumake money. Naona atawaomba msamaha hata zari vile vichambo vya timu wema vilimfanya ajulikane fasta na mimba ya tiffah kupata kiki, ndo maana sasa hivi hachabwi kapoa inaonekana kawaida. Hao timu wema ndo wanaomuweka mjini nao wampotezee mazima ili akome, papuchi yake imetumiwa sana làkini hata pakukaa hana.31k views
Like
- mangekimambi_Dogo unless Kama umeamua Kuwa madam Kama dadako hutaki Tena ustaa basi usiongee Maneno Kama haya. Hawa Team Wema Ndo wanaokufanya unakuwa Wema.. They are your fans. Bila fans you are not a star.
.
.
Team Wema ilianza because watu walikuonea huruma sana baada ya kurekodiwa na Dai na Penny ile ya na utuache tulale.seriously hakuna star bila fans. Hata Beyonce ana team yake wanaitwa 'beyhive' hao ni noumaaa. Mchokonoe Beyonce uone uwiiiii wanang'ata Kweli Kama nyukiii.Nakumbuka the new song ile part ya Becky with the good hair huyo dada waliemuhisi Ndo Becky with the good hair alijutaaaaaa humu insta.. hao Beyhive walimtusiiiiii bila kosa, dada wa watu wala hajawahi Kuwa Na Jay Zee.Hii juzi Lemonade kukosa award hao Beyhive wamekinukishaaaa.Wewe fans wako ni Kama wa Beyonce wanakupenda mpaka wamepitiliza na hao team Wema Ndo wanaokufanya unaendelea Kuwa Relevant .Ngoja wakuchunie Kweli Kama unavyotaka uone Kama hujapotea kwenye ramani.
.
.
mwenye kosa ni wewe. Hawa tema Wema hawajakuharibia Maisha yako, wewe umeyaaribu mwenyewe Kwa kuji associate personally Na team Wema. Hata siku moja Huwezi muona Beyonce Eti kawa personal friend Na mmoja wa beyhive wanaotukana watu online au birthday ya Beyonce Huwezi kukuta Eti kawaalika hao Beyhive wanaotukana watu kwenye mitandaoni Kwa ajili yake, Kwahiyo hakuna Mtu anaemchukia Beyonce Kwa ajili ya fans wake.Ila wewe mdogo wangu unakuwa friends Na hawa team Wema. Una waacknoledge Mara uwa-wish happy birthday, Mara Uko nao close. Wengine mpaka wanakujua undani wako Kwa mffano Matty. Nampenda sana MAtilda Ila kumbuka Matty alikuwa anatukana watu Kwa ajili yako vibaya mnoooo then suddenly akawa your personal friend Kila Mtu anaona ni Mtu wako, that's why watu Wana kuunganisha Na matendo ya team Wema au wanasema unawatuma.Seriously watu wanatukana watu online for you then kwenye birthday yako unawaalika unadhani wewe hutokuwa responsible Kwa matendo Yao??Pls be like Beyonce anawapenda fans wake Ila Hana personal relationship nao. Ila wewe mdogo wangu Team Wema mpaka Siri zako wanazijua mkizinguana wanakuchambua kwelikweli..
.
.Team Wema wanakuingilia mpaka Maisha yako personal sababu wewe umewakaribisha into your life.- didahns@amidah_mahmood
- khadijaakadidebt wema dadangu u av to growup jiamulie mama dnt let ua mum akuamuliee sikwambie kwa ubaya lkn op u wont tek i kwa ubaya.
- cassie2nyiYe mwenyewe anajichanganya @nitter26
- loanyuniAisee una akili Sana
Umemaliza mkuu.Mange kamwambia ukweli sifa ya star ni mashabiki bila hao unapotea na kusahaulika, wema umri unamtupa na mvuto pia madanga awamu hii hamna ana panic anatafta wa kumshushia lawama. Ujinga wake alikua star lakini hakuutumia kumake money. Naona atawaomba msamaha hata zari vile vichambo vya timu wema vilimfanya ajulikane fasta na mimba ya tiffah kupata kiki, ndo maana sasa hivi hachabwi kapoa inaonekana kawaida. Hao timu wema ndo wanaomuweka mjini nao wampotezee mazima ili akome, papuchi yake imetumiwa sana làkini hata pakukaa hana.
Huyo kajiharibia mwenyewe maisha kwa kukosa akili ya maisha mbona dai ana timu na maisha yanaenda.Amechelewa sana kujua kuwa hizi team zimemuharibia maisha!!
Zari anafanya white parties zinamwingizia pesa wakati Wema anafanya birthday parties za kummalizia pesa. Kutoka miss Tanzania mpaka kuwa mama vigodoro si mchezo, shikamoo Magufuli.Huyo kajiharibia mwenyewe maisha kwa kukosa akili ya maisha mbona dai ana timu na maisha yanaenda.
Imagine hela za campaign alizimalizia kwenye birthday party na lile range ambalo TRA walilichukua. Yeye akipata full kutumia haiweki izalishe sasa maisha yakiwa magumu ataacha kutafta wa kumlaumu. Enzi hizi za magufuli mianya ilivozibwa wengi watachanganyikiwa aisee Dada hajui kutumia jina kumake money hata kwenye mambo ya kijamii ka charity hayupo. Hata kupata mwanaume wa maana ngumu MTU ukisha date na dai sijui huwatia nuksi gani, wema Mara kina idriss na alivo na matusi walah atachqnganyikiwa.Zari anafanya white parties zinamwingizia pesa wakati Wema anafanya birthda parties za kummalizia pesa. Kutoka miss Tanzania mpaka kuwa mama vigodoro si mchezo, shikamoo Magufuli.