Duuh akili nyingine jaman kwaiyo wwe una mpango na mungu kuwa utaishi mpaka lini?kweli unasubutu kusema bora alitoa mimba ya kanumba maana mtoto angeteseka kwaiyo watoto waliofiwa na wazaz hawastahili kuishi?huu ni ujinga ila hata ivo hakuna mtu anejielewa alaf akawa anamsapot wemaNaona alikulambisha bleed ya hio mimba ya kanumba, maana ulikwa nae wakati anatoa. Huoni alifanya la mbolea angekuwa ANATESEKA mwenyewe sahivi. Aliona mbali
Yeesu Ruwaaa!!!Mfollow mtu anaitwa @ zari_stayaway_from _wema instagram utaona Clip, si kwa papa lile umalize MB zako bureee! HAHAHAAAAAAAA! Afu ni Solo hio, bibi Z na kidubwana. Hahahaaaaaaaa! Afu watu wabaya wana watag wale wanae kila waki upload. Hahahahaaaaa! Nacheka kwa masikitiko.
akatoeee weee wacha bangee hapo alipo anahangaika sababu alitoa mimba na hapati tena sasa km anayo akaitoe oh my my nadhani humpendi wemaAkatoe haraka sanaaaaa. Awaache waswazi washindane kuzaaaaa. Yeye mtoto wa balozi bwanaaaa, she should have morals, AZAE ATAKAPO OLEWA KAMA DINI YAKE YA KIISLAMU INAVOAGIZAAAA.
Yeesu Ruwaaa!!!
ahah ebu usituchekeshe, kwa ndoa ipi? lada fekero maana tushamjua miss fekero, ataishia kufanya umalaya hata kibanda hana, yani kaanza kuuza K toka mwaka 2006 mpaka leo hana nyumba?? qhahaha pole yake , amuache zari yale maji marefu maninaUmeingia rohoni mwake? WALA HATAKI KUZAA, ILI MJE MUMSEME KAZALISHWA KAACHWA? Hahahaaaaaaaaa! Maana hata mimi nitakuwa sina la kumtetea. IMEKULA KWENU, HAZAI NGOOOOOO MPAKA NDOA!
Akatoe haraka sanaaaaa. Awaache waswazi washindane kuzaaaaa. Yeye mtoto wa balozi bwanaaaa, she should have morals, AZAE ATAKAPO OLEWA KAMA DINI YAKE YA KIISLAMU INAVOAGIZAAAA.
ahahaah ndo huyo binamu, ebu nisaidie kushangaaHuyu wema si ndo yule alienda kurusha matusi ya nguoni kweny office za Global publishers? Au ni yule alirekodiwa akiwapiga na kuwatukana house workers wake?...ndo mfano wa kuigwa?
aahaaa jaman muacheni lara wa watu mbona munamshambulia hvyo? asije akajinyonga bureeeNauliza tu, sitegemei kushambuliwa, katika darsa lake la kufundwa alifundishwa na kutoa mimba?
Abortion doesnot make one younger!
Wanawake mnamambo sana, Bibi nae ni mtu Kama sisi, Ana Moyo Hana Jiwe wala reli kifuani, isitoshe yeye mgeni hapa kwetu tusimnyanyase basi coz kampenda Ndg yetu.akatoeee weee wacha bangee hapo alipo anahangaika sababu alitoa mimba na hapati tena sasa km anayo akaitoe oh my my nadhani humpendi wema
Usikute mama ubaya muongo, hana cha kutoa mimba wala nini, aseme tu kuwa kizaz chake bahati mbaya, sio kila mwanamke lazima aitwe mama so yeye atulie tu ashuhudie wanawake wa shoka kama akina zari wakiingia leba kuzaa maana yeye huo uwezo hana, hahaahahaha shahaha poleeeNaona siku hizi kutoa mimba ni sifa kama kupata mafanikio fulani ya kiroho.
Wem ameisaka sana mimba, sidhani kama anaweza kufuata ushauri kama huu.
Freeland umeumbuka, leo Wema anatulambisha ndimu za ujauzito.
IKIWA BEYONCE, MADONNA, ANGELINA JOLLIE NA KIM K WAMEZAA NA BADO HAWAJAPOTEA KWENYE RAMANI YA UCELEB, KWANINI WEMA AKIZAA APOTEE?
KWANZA KABLA YA KUZAA TU KESHAJIZEEKEA
ahahhaj hivi swiss ndio nani jaman? huo umbea ulinipita ivooooNafikiri mada ni Wema na wala sio members wa humu.
Tuondoe personal attacks tuchambue ushauri huu wa kifo cha kiumbe wa Wema a.k.a mdogo wa Swiss.