Duuh akili nyingine jaman kwaiyo wwe una mpango na mungu kuwa utaishi mpaka lini?kweli unasubutu kusema bora alitoa mimba ya kanumba maana mtoto angeteseka kwaiyo watoto waliofiwa na wazaz hawastahili kuishi?huu ni ujinga ila hata ivo hakuna mtu anejielewa alaf akawa anamsapot wemaNaona alikulambisha bleed ya hio mimba ya kanumba, maana ulikwa nae wakati anatoa. Huoni alifanya la mbolea angekuwa ANATESEKA mwenyewe sahivi. Aliona mbali