Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Itakua ndo hivo nlishaona binti mwingine wa dini hiyo akisema heri kutoa mimba kuliko kuzaa kabla ya ndoaKwa hiyo dini yake ya kiislamu inaagiza watu wasizae nje ya ndoa, lakini ruksa kutoa mimba? umepotea mwelekeo....
Duu ni wewe?ondoa hii comment issue za dini ni sensitive sana upuuz wa watu wawil usikufanye u generaliseItakua ndo hivo nlishaona binti mwingine wa dini hiyo akisema heri kutoa mimba kuliko kuzaa kabla ya ndoa
Nadhan hukutakiwa kupanik especially ukiwa kweny watu weng instead ungemwelewesha! Ukisoma comment yake vzuri unaona kabisa hayupo sure pia ila amesikia kwa watuDuu ni wewe?ondoa hii comment issue za dini ni sensitive sana upuuz wa watu wawil usikufanye u generalise
Ni mimi, siondoi comment hii ni nukuu kutoka kwa mtu "kwa dini yake (uislamu) heri kutoa mimba kuliko kuzaa kabla ya ndoa tena mwenyewe akaita mwanaharamu"Duu ni wewe?ondoa hii comment issue za dini ni sensitive sana upuuz wa watu wawil usikufanye u generalise
Sio tu kusikia ila niliambiwa hivo hapa hapa jf heri kutoa mimba kuliko kuzaa mwanaharamuNadhan hukutakiwa kupanik especially ukiwa kweny watu weng instead ungemwelewesha! Ukisoma comment yake vzuri unaona kabisa hayupo sure pia ila amesikia kwa watu
Aliyekuambia sio muislam;tuwe na heshima na imani za watuSio tu kusikia ila niliambiwa hivo hapa hapa jf heri kutoa mimba kuliko kuzaa mwanaharamu
Ni muislamu namjuaAliyekuambia sio muislam;tuwe na heshima na imani za watu
Ok kama umeamua kujitoa ufahamu lakin moyon mwako unajua hakuna dini inayoruhusu abortion kuitwa Abdallah sio guarantee kwamba wewe ni muislamNi muislamu namjua
Ha ha ha itabidi lara aingie kwenye mfungo mimba itoke, kuliko azaliwe mwanaharamu kama anavowaita ye mwenyeweHatimaye Wema kashika ujauzito!!!
lara 1 kaone tumbo kwa ommy dimpoz
Mweee kama kabla tu ya kuzaa hips zimeshuka akipush si zitaanguka???
kanilaghai huko kwenye PM nikamzimia, nikamtumia kwa kigezo cha kumgegeda.hahahahaha ilikuwaje kuwaje?
hahaha aione danya hiikanilaghai huko kwenye PM nikamzimia, nikamtumia kwa kigezo cha kumgegeda.