Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Mkuu lara 1 una nini na huyu jamaa maana nilivyowahi kufungua huu uzi....
 
Nilichokuwa nakiwaza sicho nilichokisoma baada ya kufungua uzi

Nikajua mmelala pamoja ayaaaaaaaa
 
So what...ni ushauri unataka au? Mambo yenu yanatuhusu nini?
 
WAZIRI ANASWA KOFI
mkazi wa mbagala waziri ali amejikuta akinaswa makofi baada ya kupishana kauli na jirani yake.



Ha ha ha anampa credit huyo lala bora kama vipi angekaa kimya tu..

Btw lara1 is more of fun na enjoy mambo zake!
 
Hahahaahahha kazi kweli kweli
Mi nilijua amekupa tunda
 
lara 1 anawatoa povu jmn khaaa alafu hakunaga watu wanakua good wife km yey...nampenda sn.
 
Mi nikajua ushatikisa nyavu kumbe ni mambo ya thread
 
Yani nilivofungua fasta nkajua nanihiii kumbe hakuna kitu
 
Lete hiyo thread uliyotukanwa.
Tunataka kuunganisha cheni wenyewe hatutaki
Ya kuambiwa tu .

Haina utamu .
 
Binafsi simshauri wema wala any gal kuzaa tu b4 ndoa,mie ni mhanga wa hayo and nitakaposettle ntaileta a true story ya maisha yangu.inasikitisha ila zaidi inafunza for that matter.wanasema we learn the hard way.Nachoshukuru Mungu nimepata kababy boy kangu kananifariji,sometimes nakuwa na huzuni ila nikimtazama ananitabasamia basi huzuni yote huyeyuka.Na nimeahidi kutumia resources zangu zote ikiwemo time and money to make sure namlea huyu little man wangu into someone ulimwengu utanufaika naye siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…