Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Nilichokuwa nakiwaza sicho nilichokisoma baada ya kufungua uzi

Nikajua mmelala pamoja ayaaaaaaaa
 
WAZIRI ANASWA KOFI
mkazi wa mbagala waziri ali amejikuta akinaswa makofi baada ya kupishana kauli na jirani yake.



Ha ha ha anampa credit huyo lala bora kama vipi angekaa kimya tu..

Btw lara1 is more of fun na enjoy mambo zake!
 
Wanajamvi yapata kama Wiki mbili na sehemu sasa tangu nilivyoleta uzi wangu kuwataka kinadada waache kumsumbua Mungu kwa matatizo yao ya kujitakia.
mara baada ya uzi huo akaja Lara 1 a. k. a kubwa la maadui, jeshi la mtu mmoja, akanichamba ile mbaya, hakuishia hapo tu akaenda mbali zaidi kwa kumtukana hadi mama yangu,
Cha ajabu Wiki jana Lara 1 amerudi na kukaa upande wangu, anaunga mkono kile Nilichokuwa nawaasa mabinti, akimshauri wema ktk uzi wake Lara 1 anasisitiza kwa wema ajitunze hadi aolewe, asipagawishwe na kibibi kama zari aliyezaa na Diamond, anamsisitizia kuwa kuzaa bila ya kuwa kwenye ndoa ni nuksi, Lara 1 aliruka mkojo akakanyaga mavi, kiko wapi? punguza domo bibie ukweli hubaki kuwa kweli, umeingia kwenye 18 zangu kiulainiiiiii........!
Hahahaahahha kazi kweli kweli
Mi nilijua amekupa tunda
 
lara 1 anawatoa povu jmn khaaa alafu hakunaga watu wanakua good wife km yey...nampenda sn.
 
Mi nikajua ushatikisa nyavu kumbe ni mambo ya thread
 
Yani nilivofungua fasta nkajua nanihiii kumbe hakuna kitu
 
Lete hiyo thread uliyotukanwa.
Tunataka kuunganisha cheni wenyewe hatutaki
Ya kuambiwa tu .

Haina utamu .
 
Binafsi simshauri wema wala any gal kuzaa tu b4 ndoa,mie ni mhanga wa hayo and nitakaposettle ntaileta a true story ya maisha yangu.inasikitisha ila zaidi inafunza for that matter.wanasema we learn the hard way.Nachoshukuru Mungu nimepata kababy boy kangu kananifariji,sometimes nakuwa na huzuni ila nikimtazama ananitabasamia basi huzuni yote huyeyuka.Na nimeahidi kutumia resources zangu zote ikiwemo time and money to make sure namlea huyu little man wangu into someone ulimwengu utanufaika naye siku moja.
 
Back
Top Bottom