Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Huu uzi ka gazeti pendwa.... title kuubwa ndani ushuz tu. Afu kama sio unatafuta kiki labda unamzimia lara1
 
Kutombwa hovyo sawa, ila kuzaa ndio dhambi! Makubwa haya.
 
Akatoe haraka sanaaaaa. Awaache waswazi washindane kuzaaaaa. Yeye mtoto wa balozi bwanaaaa, she should have morals, AZAE ATAKAPO OLEWA KAMA DINI YAKE YA KIISLAMU INAVOAGIZAAAA.



Hapo ndipo ulipoharibu sasa. Yaani akafajye mauaji kisa kumaintain status!!!!???.. Shame on you black widow:evil:
 

Tunaisubiria hiyo true story kwa hamu. Sasa usije ukaleta uswahilini kama wa Lara 1 wa kutumegea megea stori halafu inakuja kuishia katikati.
 
hahhaahaha jamani uwiiiii..kwa hy kumbe huyo wema hana mimba?yeye na timu yake wanadanganya?
 
wivu utawaua watu looh...zarina na dangote waleeeeeee
 
Kwa nyie wswazi 20 tu sio mtoto, na kuzaa ovyo ndo fahari yenu so kusema haya sikushangai. ILA WEMA MTOTO WA BALOZI BWANA, USHUANI UNAZAA ONLY WHEN YOU ARE MARRIED, AND READY NA UNA MAISHA YA KUMPA HUYO MTOTO.
kuanzia miaka 18 ni mtu mzima ndo maana anaruhusiwa hata kupiga kura
 
k
kazi unayo
 
hihihih
ihihhihihihihihi watu usingizi hauji kisa zarina hassan
 
Si vema kumzungumzia mtu mambo yake labda azungumze mwenyewe
 
We lara 1 si ndo ulikua unawashauri wanawake wazae tu, mwanaume sio ishu!!
 
Hivi vitu mungu yupo pembeni anawaangali mnavyobwabwaja na shetani ndio rafiki yenu mara ohh nina mimba mara ohhh nilitoa mara ohhh usizae subiri ndoa mara aishiki mimba msije mkajutia na kauli zenu neno huumba
 
Kwa hiyo unataka atoe mimba??
Na hatoi, atazaa.
 
Kama unamshauri asizae mpaka aolewe huna tofauti na mtu anayemwambia afe mgumba. Nani wa kuoa kituko hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…