Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akatoe haraka sanaaaaa. Awaache waswazi washindane kuzaaaaa. Yeye mtoto wa balozi bwanaaaa, she should have morals, AZAE ATAKAPO OLEWA KAMA DINI YAKE YA KIISLAMU INAVOAGIZAAAA.
Binafsi simshauri wema wala any gal kuzaa tu b4 ndoa,mie ni mhanga wa hayo and nitakaposettle ntaileta a true story ya maisha yangu.inasikitisha ila zaidi inafunza for that matter.wanasema we learn the hard way.Nachoshukuru Mungu nimepata kababy boy kangu kananifariji,sometimes nakuwa na huzuni ila nikimtazama ananitabasamia basi huzuni yote huyeyuka.Na nimeahidi kutumia resources zangu zote ikiwemo time and money to make sure namlea huyu little man wangu into someone ulimwengu utanufaika naye siku moja.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] asante sunola[emoji38]bora umelitoa lile lililokuwa limekukaba😎
wivu utawaua watu looh...zarina na dangote waleeeeeeeOna unavyozidi kuchemka,
Unayemtetea anataka DNA ya ex inamuhusu nini, si akaombe za watoto wa babu aliyomlewesha kwa kumdanganya apewe za wanae.
anaumia kajaa wivu hata muandike nini, Chibu ni Mume wa Zari. Kashamdaka ni wake wanalea sasa. Ni mwendo wa wengi nyie kuongezewa ndimu tu hadi mpasuke vichwa.
Hakuna lingine zaidi ya wivu sababu yao yanaendelea na bado...kaangalie kideo cha Nasema Nawe... kile cha baba Tiifah na Utanipenda uburudike usikilize Baba Tiffah kajiitaje kwa Mama Tee ...umemuonaje na Wolper katoka bombaaaa ati?
Usisahau kutayarisha kiwalo cha ZAWP 2016.
kuanzia miaka 18 ni mtu mzima ndo maana anaruhusiwa hata kupiga kuraKwa nyie wswazi 20 tu sio mtoto, na kuzaa ovyo ndo fahari yenu so kusema haya sikushangai. ILA WEMA MTOTO WA BALOZI BWANA, USHUANI UNAZAA ONLY WHEN YOU ARE MARRIED, AND READY NA UNA MAISHA YA KUMPA HUYO MTOTO.
kazi unayoHAHAHAAAAAAAAAA! You want to bring her to your level and beat her with experience. Mnataka nae azae hovyooo, ili mfurahie awe sawa na nyie? HAZAI MTU PALE.
Boss lady ni faraja ya ma BABY MAMA na divorced ladies, hio liko wazi, coz anawa inspire mtapata vitoto vya kubemenda kama D. HAHAHAAAAAAAAAAA!
Hata jikorogue vipi bado kigori bado HAJAZAAAAAAAAA huwezi mfananisha na mzazi.
ihihhihihihihihi watu usingizi hauji kisa zarina hassanKweli mwalimu wetu kipofu, wema tunaona akililia mtoto hapa anaambiwa asizae.
Boss lady anawatesa mademu wa zamani, pamoja na kuzaa mara nne hata kama zipo zilizotoka huwezi mlinganisha na sepetunga.
Tena amshukuru platinumz aliyempa pesa ya kwenda kurepea ule mkorogo angeshaoza. Hata checkup tuone kama ataenda tena, pfuuuuuuu.
Kwa hiyo unataka atoe mimba??Binafsi simshauri wema wala any gal kuzaa tu b4 ndoa,mie ni mhanga wa hayo and nitakaposettle ntaileta a true story ya maisha yangu.inasikitisha ila zaidi inafunza for that matter.wanasema we learn the hard way.Nachoshukuru Mungu nimepata kababy boy kangu kananifariji,sometimes nakuwa na huzuni ila nikimtazama ananitabasamia basi huzuni yote huyeyuka.Na nimeahidi kutumia resources zangu zote ikiwemo time and money to make sure namlea huyu little man wangu into someone ulimwengu utanufaika naye siku moja.
wema kavujisha siri hana mimba nenda kwa udaku tzKwa hiyo unataka atoe mimba??
Na hatoi, atazaa.
Yaani shidajamii forums katika ubora wake