Wema Sepetu: Wanaoniponda wengi wao wanatumia Tecno na Huawei

Wema Sepetu: Wanaoniponda wengi wao wanatumia Tecno na Huawei

Mbona wasiwasi kama wana UKAWA na mandamano.
Kuna siku ulisema unamchukia Wema sasa nikataka niprove kwa comments zako.
Usihofu ila Wasiwasi ndio akili.:A S-eek::A S-eek:

Yule nilimjibu kutokana na alivyonisema ili achukie kabisaaaa
 
Dinazarde Kuna ka ubuyu insta kule eti bi Dada kaachwa na domo kisa kaamua kuwa na menina na ana kamdada ka kizungu huko ughaibuni na ndo maana huwa haendi nae.Sijui kweli!!?

Akomeshweeee kabisa we unadhani domo ughaibuni hana demu thubutuuuu anataka aonje ladha zotee dunianii
 
Last edited by a moderator:
Take nothing away from her this girl is so cute and class, lots of guys who had her dont deserve her really no wonder wote wanashindwa kupata girl anayemzidi from charls baba, diamond, hartman, jumbe nk
 
Dinazarde Kuna ka ubuyu insta kule eti bi Dada kaachwa na domo kisa kaamua kuwa na menina na ana kamdada ka kizungu huko ughaibuni na ndo maana huwa haendi nae.Sijui kweli!!?

kwa nani niende kuchungulia shostii
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni galaxy s4 active bei laki 8 tu tsh

Ndio maana nkamwambia hiyo gallaxy yake s4 ina features kuzidi Ascend P7? P7 secondary camera ina 8MP 720dpi HD na Camera ya kawaida ina 13MP na bei yake inaifunika hiyo gallaxy yake,aache dharau asidhanie tecno au huawei wana product za kina mwajuma ndala ndefu peke yao hata brands za ukweli wanazo ni kama Samsung na wao wana brand za kaj.amba nani.
 
Hahahaha ila kweli manake tecno kwa sasa ndio mkombozi wa waTz wengi huko instagram
 
Ndio maana nkamwambia hiyo gallaxy yake s4 ina features kuzidi Ascend P7? P7 secondary camera ina 8MP 720dpi HD na Camera ya kawaida ina 13MP na bei yake inaifunika hiyo gallaxy yake,aache dharau asidhanie tecno au huawei wana product za kina mwajuma ndala ndefu peke yao hata brands za ukweli wanazo ni kama Samsung na wao wana brand za kaj.amba nani.

Huyu dada wapambe njaa naona ndio wanampa kichwa kwake kila ki2 sifa nyumba alipanga bdae kasema kanunua 400m bdae kaja kuumbuka mbaya,nw kafulia anaisha kwa hisani y domo
 
juzi ndomo kasema kazi ya moyo ni kusukuma damu, kupenda tunalazimisha tu, pale pale nikapat jibu, maana kusoma najua na picha nikaiona

Ndio kama signature ya Matola inasema KAZI YA MOYO NI KUSUKUMA DAMU KUPENDA NI KIHEREHERE CHAKO uwiiiii Daimond ni noumaaaaaaaa jamaniii kwa hiyo Wema uache ukiherehere
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom