Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
juzi ndomo kasema kazi ya moyo ni kusukuma damu, kupenda tunalazimisha tu, pale pale nikapat jibu, maana kusoma najua na picha nikaiona
Bina aliyasemea wapi hayoo ilikuaje mpaka akasema hivyooo
OFF TOPIC
Diamond aacha msiba insta
hakupikwi hakuliki hakukaliki
bibi kaachika heheheyaaaaa
chezea menina mtoto kama
kajiumba clement pitisha
rehema yako anadhalilika
wema kahongwa na mkongo
kaenda kujishaua darlive naima
anakuchoraaa mjinga wewe
kujifanya una roho nzuri huna
kinyongo umbea tu katoe
misaada singida mjini kick
imeisha mcheck kay
amekukalisha diamond ndio
kiboko yako
Yaan natamani nifungue insta basii tu