Wema wangu ulivyoniletea kejeli na fedheha kutoka kwa mama mkwe uchwara

wemambayasana

Member
Joined
Jun 13, 2022
Posts
12
Reaction score
53
Ndugu wana JF wasalaaam,

Napenda ku-share nanyi hii stori ili iwe fundisho kwa wengine wasije wakafanya makosa kama nilivyofanya mimi.

Katika mizunguko na harakati za maisha nikakutana na mwanamke tukaanzisha mahusiano na hatimae tukaanza kuishi pamoja kama mke na mume. Hapa hakuna ile ndoa yenu ya kidini wala ya serikali kama wengi mlivozoea bali makubaliano tu ili huko mbeleni sasa tufanye kama nyie mnavyotaka wana jamii mje mle ubwabwa na mpige matarumbeta.

Stori inaanza sasa tuko kwenye mahusiano rasmi ndugu na jamaa wa mwanamke huyu tukafahamiana. Ikumbukwe huyu mama ake alifariki akiwa mdogo amelelewa na mama mdogo wake ambae ni mtumishi wa serikali mpaka alivokuja kustaafu miaka ya hivi karibuni.

Huku mjini ndugu zake huyu mwanamke ambao ni wajukuu wa huyu mama wakawa wamekuja mjini kusomea huku. Tukawa familia ya watu kadhaa. Vipato vyetu vikawa vinatumika kuwahudumia ikiwemo kulipa kodi.

Kwa muktadha huo huyo mama mkwe mtumishi mstaafu akawa anakuja anatutembelea na kuondoka. Katika kipindi chote hicho cha kufahamiana tumesaidiana mambo mengi ikiwemo biashara, pesa, mambo ya kiofisi, matibabu n.k.

Kuna siku nakumbuka alikuja mjini kwa ndugu zake kumuona mgonjwa nae huko akashikwa na ugonjwa akaanza kuumwa akawa hana wa kumhudumia kwani watu wote macho yao yako kwa mgonjwa mkuu.

Tukaenda kumchukua na kuja kumtibu nikijuatunakoishi nikijua ni real mama mkwe bwana kama tunavyoaminishwa kutenda wema ukweni.

Basi baadae akapona undugu ukazidi kuwa mkubwa maisha yakasonga. Alivyopata hela za kustaafu akatuita akasema “wanangu nyie huku mjini mmepanga na mna familia kubwa ambao ni wajukuu wangu wanasoma hapa na mnajua mimi nakaa kijijini, naomba nitenge fungu mjenge kibanda huku mjini mjihifadhi ili na nyie muanze kujipanga mkitafuta maisha yenu, wala ww mkwe wangu usije ukajiskia vibaya kua unakaa ukweni….huku ni kwenu kwani mm sitokuwepo huku mtakua nyie”.

Basi tukajadiliana na mwenzangu tukaafikiana na hilo wazo (mistake). Tukamwambia sawa, alivoenda nyumbani akatoa hela akatuma zoezi likaanza.

Tukanunua uwanja na Nyumba ya vyumba vitatu ikaanza kujengwa. Nilisimamia kwa uaminifu mkubwa sana hata senti 10 haikupotea bure. Nilidiriki kutoa hela zangu mfukoni kuweka mafuta kwenye chombo changu cha usafiri ili nifanye zoezi la ujenzi kwani nkichukua hizo hela ni kama namuibia.

Nikawa najitahidi kubana matumizi na kupunguza gharama ya materials kwa kutafuta palipo na bei nafuu ili zoezi lifanikiwe kwa haraka (mistake). Nakumbuka hata basi njiani lilitaka kuniua nkihangaikia nyumba yake. Nilikua natoroka kazini kwenda kusimamia kazi na mda mwingine naamka usiku kuwahi zoezi ikiwemo kumwagilia kuta.

Nilipiga kazi nkijua ni mama mkwe ni mtu bwana. Kumbe wala wali samaki ni konyo kweli.

Nyumba ikajengwa na kupauliwa na zoezi la zege na plasta na madirisha likafuatia na hatimae likaisha. Shimo la choo, mabomba ya maji navyo vikapita. Mwishowe tukamaliza na wiring ya umeme ambapo tulifanikiwa kupata fundi wa umeme alietufanyia mchongo tukaunganishiwa umeme kwa haraka. Baada ya wiring kuwekwa kuna vibaka walipita wakaiba nyaya na kuharibu system.

Tukashauriana tukaona kua tukimwamwambia kua wezi wamepita atashtuka na kupata presha asije akafa (Mistake hiyo) tukachukua akiba yetu binafsi tukarudia wiring ya umeme ili tanessco wasije wakapiga simu kuja kuweka wakakuta system hakuna. Tulichukua 1,100,000 kukamilisha wiring na shughuli zilizobakia (mistake kubwa).

Zoezi likafanikiwa na hatimae tukahamia kwenye nyumba ya mama mkwe (mistake vibaya). Baada ya miezi mitatu mdogo wangu akaniomba aje kusomea mkoa nakoishi, akaja tukawa tunaishi pamoja na hawa waliopo home. Baada ya kuhamia hiyo nyumba ilipita miezi mitatu, huyo mama akaja bila taarifa na tangu hapo mambo yalibadilika. Vituko vikaanza.

Kesho yake tu akaanza kutimua timua vitu na kupanga anavyoaka yeye, akang'oa na mboga tulizopanda akiita uchafu na akaanza kudai risiti na daftari la hesabu. Daftari alipewa na baadhi ya risiti kwani ujenzi sio materials yote utakayopata risiti. Mama huyo alifoka na kukasirika sana. Maneno hayaishi, vituko visivyoelezeka. Akiskia unafungua mlango usiku kufanya patrol anaanza kufoka “nani huyo anafungua mlango, mnatoka toka nje kama wachawi” na dhihaka nyingi.

Akawa anaenda kwa majirani kujitambulisha kama yeye ndo mwenye hiyo nyumba hao wengine hawahusiki wataondoka. Akaanza zoezi lingine la ujenzi wa mabanda ya uani kimyakimya bila hata kuwataarifu kuhusu zoezi.

Mnaona tu mafundi wanaendelea na kazi, akaanza ujenzi bila hata kutuomba tumuoneshe wapi aanzie kujenga na mpaka wapi. Akajikuta anaanza kujenga kwenye barabara ya mtaa. Nilijisahau sana nkamwambia wife vipi mbona ujenzi wameanzia barabarani? (mistake kwangu, ningeliacha lijenge afu libomoe) Akashtuka na kwenda kumueleza mama ake ndo akaanza kuropoka hapi yaani hakuna hata kusema jamani tusaidie kubeba cement au kuleta koleo. Salamu akawa tena haitikii kama awali. Mkiondoka asubuhi anataka achiwe hela za matumizi msipoacha atafoka siku nzima huku akilalamika mnamtesa. Baadae akaja akaniandikisha barua ya kumkabidhi nyumba. Ikumbukwe kukabidhiana hiyo shughuli haikua kwa maandishi lkn yeye anataka nimkabidhi kwa maandishi. Anyway niliandika nkasaini na kumpatia.

Vituko vilivyozidi nkamtumia mjukuu wake msg kua anivumilie nikipata hela ya mwezi ntaondoka maana akaiba iliyokuwepo iliishia kwenye wiring ya wezi. Basi huyo MAMA MKWE UCHWARA akakasirika akawa hataki tena salamu akidai kwa nn atumiwe msg.

Akasema kama ni hela niseme bei ganai airudishe. Nkamute nilipopata hela tukahamia mtaa mwingine, nilitaka nibebe kila kitu ila mwanamke akanizidi nguvu akadai tuwaachie baadhi ya vitu. Basi tukahama na kumuachia nyumba yake ajitanue yeye na wajukuu zake tuliokua tunaishi nao.

Baada ya kuhama nilimtumia msg gharama ya umeme iliyotumika, nashangaa huyo mama akaanza kufoka tena. Akaanza kujifanya pressure imepanda. Mshenzi sana huyu. Mwanamke akaanza nae kulalamika kwa nn nimdai mama ake.

Huyu mama mkwe uchwara alijaribu kunipigia simu nimsaidie zoezi la ujenzi ikiwemo kumpa namba za mafundi. Sikupokea simu na sitegemei kupokea simu yake hivi karibuni. Baada ya hapo akaanza kumshinikiza mwanae nimsaidie kufatilia hati ya nyumba na mambo mengine. Nkakataa katakata.

Naskia kashapigwa 200,000 na wahuni na hati hajaipata. Na kuna mtego mwingine wa 300,000 na zingine 400,000 umewekwa anapambana kuzipata akawape. Heheheheh hao jamaa hawawezi kukupatia hati nawajua in and out. Ngoja wakukamue, mjinga wahed. Mwanzoni nilitaka kukubali ili nioate wasaa wa kumpiga hela nijilipe jasho na hela zangu but nkaona ngoja nimalize bila kuiba kama nilivyo anza.

Nisiwachoshe sana, hizo hela huyo mama lazima azitoe kwani Mama angu mzazi aliehangaika na mm sijawahi kumtumia hela cash zaidi ya 50,000 ww mbugile uje kula hela zangu 1,000,000+ for no reasons vip. Nitatumia ujanja wote mpaka zipatikane.

Somo nililojifunza kupitia huyu mama mkwe uchwara;
1. Usitende wema ukapitiliza. Tenda kiasi, bakiza kiasi.
2. Kamwe usimuamini mtu yeyote, rafiki au ndugu yako ni adui yako wa kesho and vice versa.
3. Usitende wema ukasubilia kulipwa mema. Binadamu hawana jema. Hata ufanye nn hawatokupenda.
4. Fursa ya kupiga pesa ikipita mbele yako kamwe usiache kupiga pesa. Hata kama ni ya ndugu au rafiki yako ww jilipe jasho lako kwa namna utayoona inafaa ili siku akikugeuka usihuzunike moyoni. Huyu mama ningejilipa jasho na nguvu zangu angalau ningeondoka na 10M.
5. Jipende ww na wazazi wako wa damu tu. Mfano huyu mama mkwe uchwara kafanya haya yote kwa sababu huyu mwanamke sio mtoto wake wa kumzaa.

HITIMISHO
Ww mla wali samaki, MAMA MKWE UCHWARA, mbaguzi na mwenye roho mbaya na jicho la husda, umenifundisha jambo kubwa sana. Pesa Na hivyo vitu tulivyoviacha hapo kwako ipo siku nitavifuata na kama hii itakufikia naomba uvilete ww mwenyewe. Na huko kwako namuomba Mungu anifanyie wepesi nisikanyage kwenye hiyo nyumba au kupita maeneo ya jirani tena.

Na hata huko kwako kijijini sitegemei kuja. Nitamtafuta baba mzazi wa huyu mwanamke nimalizane nae maana unamzuia hata kumsaidia baba ake and for whatever reasons hata kuachana na unaemwita ni mwanao (maana matendo yako hayaoneshi kama ni mwanao) niko tayari ila sio kupatana na wewe.

Nimeona nitoe hii stori wenye akili kama zilivyokuwa akili zangu wapate cha kujifunza na wasitende kama nilivyofanya mistake kwa watu kama huyu mama mkwe uchwara.

Ahsanteni, Mungu wabariki.
 
Huu ni muda wa shuhuda Mtumishi, weka ushuhuda wako tumuaibishe shetani
Nimecheka! BTW jamaa anahitimisha kwa kutoa ushauri wa kutenda uovu kwa sababu tu amekutana na mtu mmoja mkorofi. Kuna maelfu ya watu wengi wametenda wema na wakapewa asante na kuheshimiwa milele na hata kulipwa zaidi. Tusihukumu watu wote kwa ubaya uliofanywa na mtu mmoja.
 
Funzo kubwa.

Wanaume msikubali zawadi za viwanja au nyumba,gari toka kwa wakwe zenu sio ufahari mara nyingi hamtaishi kwa amani maana masimango na kupangiwa hiki au kile havitaisha.

Msiruhusu wakwe wawapangie pa kuishi,umeoa ishi unapopenda sio unapopelekwa kwa ofa ya wakwe. Kamseleleko katamu ila kana maidhi mengi

Mkwe yake heshima sio uoga

Ndugu wana JF wasalaaam,

Napenda ku-share nanyi hii stori ili iwe fundisho kwa wengine wasije wakafanya makosa kama nilivyofanya mimi

Katika mizunguko na harakati za maisha nikakutana na mwanamke tukaanzisha mahusiano na hatimae tukaanza kuishi pamoja kama mke na mume. Hapa hakuna ile ndoa yenu ya kidini wala ya serikali kama wengi mlivozoea bali makubaliano tu ili huko mbeleni sasa tufanye kama nyie mnavyotaka wana jamii mje mle ubwabwa na mpige matarumbeta.

Stori inaanza sasa tuko kwenye mahusiano rasmi ndugu na jamaa wa mwanamke huyu tukafahamiana. Ikumbukwe huyu mama ake alifariki akiwa mdogo amelelewa na mama mdogo wake ambae ni mtumishi wa serikali mpaka alivokuja kustaafu miaka ya hivi karibuni.

Huku mjini ndugu zake huyu mwanamke ambao ni wajukuu wa huyu mama wakawa wamekuja mjini kusomea huku. Tukawa familia ya watu kadhaa. Vipato vyetu vikawa vinatumika kuwahudumia ikiwemo kulipa kodi.

Kwa muktadha huo huyo mama mkwe mtumishi mstaafu akawa anakuja anatutembelea na kuondoka. Katika kipindi chote hicho cha kufahamiana tumesaidiana mambo mengi ikiwemo biashara, pesa, mambo ya kiofisi, matibabu n.k.

Kuna siku nakumbuka alikuja mjini kwa ndugu zake kumuona mgonjwa nae huko akashikwa na ugonjwa akaanza kuumwa akawa hana wa kumhudumia kwani watu wote macho yao yako kwa mgonjwa mkuu.

Tukaenda kumchukua na kuja kumtibu nikijuatunakoishi nikijua ni real mama mkwe bwana kama tunavyoaminishwa kutenda wema ukweni.

Basi baadae akapona undugu ukazidi kuwa mkubwa maisha yakasonga. Alivyopata hela za kustaafu akatuita akasema “wanangu nyie huku mjini mmepanga na mna familia kubwa ambao ni wajukuu wangu wanasoma hapa na mnajua mimi nakaa kijijini, naomba nitenge fungu mjenge kibanda huku mjini mjihifadhi ili na nyie muanze kujipanga mkitafuta maisha yenu, wala ww mkwe wangu usije ukajiskia vibaya kua unakaa ukweni….huku ni kwenu kwani mm sitokuwepo huku mtakua nyie”.

Basi tukajadiliana na mwenzangu tukaafikiana na hilo wazo (mistake). Tukamwambia sawa, alivoenda nyumbani akatoa hela akatuma zoezi likaanza.

Tukanunua uwanja na Nyumba ya vyumba vitatu ikaanza kujengwa. Nilisimamia kwa uaminifu mkubwa sana hata senti 10 haikupotea bure. Nilidiriki kutoa hela zangu mfukoni kuweka mafuta kwenye chombo changu cha usafiri ili nifanye zoezi la ujenzi kwani nkichukua hizo hela ni kama namuibia.

Nikawa najitahidi kubana matumizi na kupunguza gharama ya materials kwa kutafuta palipo na bei nafuu ili zoezi lifanikiwe kwa haraka (mistake). Nakumbuka hata basi njiani lilitaka kuniua nkihangaikia nyumba yake. Nilikua natoroka kazini kwenda kusimamia kazi na mda mwingine naamka usiku kuwahi zoezi ikiwemo kumwagilia kuta.

Nilipiga kazi nkijua ni mama mkwe ni mtu bwana. Kumbe wala wali samaki ni konyo kweli.

Nyumba ikajengwa na kupauliwa na zoezi la zege na plasta na madirisha likafuatia na hatimae likaisha. Shimo la choo, mabomba ya maji navyo vikapita. Mwishowe tukamaliza na wiring ya umeme ambapo tulifanikiwa kupata fundi wa umeme alietufanyia mchongo tukaunganishiwa umeme kwa haraka. Baada ya wiring kuwekwa kuna vibaka walipita wakaiba nyaya na kuharibu system.

Tukashauriana tukaona kua tukimwamwambia kua wezi wamepita atashtuka na kupata presha asije akafa (Mistake hiyo) tukachukua akiba yetu binafsi tukarudia wiring ya umeme ili tanessco wasije wakapiga simu kuja kuweka wakakuta system hakuna. Tulichukua 1,100,000 kukamilisha wiring na shughuli zilizobakia (mistake kubwa).

Zoezi likafanikiwa na hatimae tukahamia kwenye nyumba ya mama mkwe (mistake vibaya). Baada ya miezi mitatu mdogo wangu akaniomba aje kusomea mkoa nakoishi, akaja tukawa tunaishi pamoja na hawa waliopo home. Baada ya kuhamia hiyo nyumba ilipita miezi mitatu, huyo mama akaja bila taarifa na tangu hapo mambo yalibadilika. Vituko vikaanza.

Kesho yake tu akaanza kutimua timua vitu na kupamga anavyoaka yeye, akaanza kudai risiti na daftari la hesabu. Daftari alipewa na baadhi ya risiti kwani ujenzi sio materials yote utakayopata risiti. Mama huyo alifoka na kukasirika sana. Maneno hayaishi, vituko visivyoelezeka. Akiskia unafungua mlango usiku kufanya patrol anaanza kufoka “nani huyo anafungua mlango, mnatoka toka nje kama wachawi” na dhihaka nyingi.

Akawa anaenda kwa majirani kujitambulisha kama yeye ndo mwenye hiyo nyumba hao wengine hawahusiki wataondoka. Akaanza zoezi lingine la ujenzi wa mabanda ya uani kimyakimya bila hata kuwataarifu kuhusu zoezi.

Mnaona tu mafundi wanaendelea na kazi, akaanza ujenzi bika hata kutuomba tumuoneshe wapi aanzie kujenga na mpaka wapi. Akajikuta anaanza kujenga kwenye barabara ya mtaa. Nilijisahau sana nkamwambia wife vipi mbona ujenzi wameanzia barabarani? (mistake kwangu, ningeliacha lijenge afu libomoe) Akashtuka na kwenda kumueleza mama ake ndo akaanza kuropoka hapi yaani hakuna hata kusema jamani tusaidie kubeba cement au kuleta koleo. Salamu akawa tena haitikii kama awali. Baadae akaja akaniandikisha barua ya kumkabidhi nyumba. Ikumbukwe kukabidhiana hiyo shughuli haikua kwa maandishi lkn yeye anataka nimkabidhi kwa maandishi. Anyway niliandika nkasaini na kumpatia.

Vituko vilivyozidi nkamtumia mjukuu wake msg kua anivumilie nikipata hela ya mwezi ntaondoka maana akaiba iliyokuwepo iliishia kwenye wiring ya wezi. Basi huyo MAMA MKWE UCHWARA akakasirika akawa hataki tena salamu akidai kwa nn atumiwe msg.

Akasema kama ni hela niseme bei ganai airudishe. Nkamute nilipopata hela tukahamia mtaa mwingine, nilitaka nibebe kila kitu ila mwanamke akanizidi nguvu akadai tuwaachie baadhi ya vitu. Basi tukahama na kumuachia nyumba yake ajitanue yeye na wajukuu zake tuliokua tunaishi nao.

Baada ya kuhama nilimtumia msg gharama ya umeme iliyotumika, nashangaa huyo mama akaanza kufoka tena. Akaanza kujifanya pressure imepanda. Mshenzi sana huyu. Mwanamke akaanza nae kulalamika kwa nn nimdai mama ake.

Huyu mama mkwe uchwara alijaribu kunipigia simu nimsaidie zoezi la ujenzi ikiwemo kumpa namba za mafundi. Sikupokea simu na sitegemei kupokea simu yake hivi karibuni. Baada ya hapo akaanza kumshinikiza mwanae nimsaidie kufatilia hati ya nyumba na mambo mengine. Nkakataa katakata.

Naskia kashapigwa 200,000 na wahuni na hati hajaipata. Na kuna mtego mwingine wa 300,000 na zingine 400,000 umewekwa anapambana kuzipata akawape. Heheheheh hao jamaa hawawezi kukupatia hati nawajua in and out. Ngoja wakukamue, mjinga wahed. Mwanzoni nilitaka kukubali ili nioate wasaa wa kumpiga hela nijilipe jasho na hela zangu but nkaona ngoja nimalize bila kuiba kama nilivyo anza.

Nisiwachoshe sana, hizo hela huyo mama lazima azitoe kwani Mama angu mzazi aliehangaika na mm sijawahi kumtumia hela cash zaidi ya 50,000 ww mbugile uje kula hela zangu 1,000,000+ for no reasons vip. Nitatumia ujanja wote mpaka zipatikane.

Somo nililojifunza kupitia huyu mama mkwe uchwara;
1. Usitende wema ukapitiliza. Tenda kiasi, bakiza kiasi.
2. Kamwe usimuamini mtu yeyote, rafiki au ndugu yako ni adui yako wa kesho and vice versa.
3. Usitende wema ukasubilia kulipwa mema. Binadamu hawana jema. Hata ufanye nn hawatokupenda.
4. Fursa ya kupiga pesa ikipita mbele yako kamwe usiache kupiga pesa. Hata kama ni ya ndugu au rafiki yako ww jilipe jasho lako kwa namna utayoona inafaa ili siku akikugeuka usihuzunike moyoni. Huyu mama ningejilipa jasho na nguvu zangu angalau ningeondoka na 10M.
5. Jipende ww na wazazi wako wa damu tu. Mfano huyu mama mkwe uchwara kafanya haya yote kwa sababu huyu mwanamke sio mtoto wake wa kumzaa.

HITIMISHO
Ww mla wali samaki, MAMA MKWE UCHWARA, mbaguzi na mwenye roho mbaya na jicho la husda, umenifundisha jambo kubwa sana. Pesa Na hivyo vitu tulivyoviacha hapo kwako ipo siku nitavifuata na kama hii itakufikia naomba uvilete ww mwenyewe. Na huko kwako namuomba Mungu anifanyie wepesi nisikanyage kwenye hiyo nyumba au kupita maeneo ya jirani tena.

Na hata huko kwako kijijini sitegemei kuja. Nitamtafuta baba mzazi wa huyu mwanamke nimalizane nae maana unamzuia hata kumsaidia baba ake and for whatever reasons hata kuachana na unaemwita ni mwanao (maana matendo yako hayaoneshi kama ni mwanao) niko tayari ila sio kupatana na wewe.

Nimeona nitoe hii stori wenye akili kama zilivyokuwa akili zangu wapate cha kujifunza na wasitende kama nilivyofanya mistake kwa watu kama huyu mama mkwe uchwara.

Ahsanteni, Mungu wabariki.
Usije siku nyingine ukarogwa ukajengewa au kujenga kwenye kiwanja cha ukweni.
Wakati naishi mivumon kuna jamaa mwanajeshi kajenga kwenye kiwanja cha mama mkwe, ana anaishi naye pale, yani hakuna picha hajawahi kuona kwa mama mkwe. Kuna muda uwa anaambiwa asiwatishe kama vipi abebe nyumba yake asepe nayo awaachie kiwanja.
Fanya kupotezea hiyo milioni endelea na mbanga zako.
 
Back
Top Bottom