Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Pole sana....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BIGMANKama wewe ni mwanaume
1.usije ukajenga kwenye kiwanja cha mke, mama mkwe.
2.usije ukaruhusu mke au mchumba achangie ujenzi kwa hali yoyote, ata akipikia mafundi mlipe.
3.usije ukaruhusu mke aweke chochote ambacho hakihamishiki ndani ya nyumba.
4.usije ukaandika jina la mwanamke kwenye hati ya kiwanja au nyumba.
6.Mtunze sana mama na baba yako maana ndio waliokulea mpaka ukajua maana ya mwanamke.
Nakaona ka dwarfPesa haijawahi kuwa mwanaharamu binadamu ndio wanaharamu.
Pesa wanaisingizia tu
Kuna watu wanapewa zawadi ya hata nyumba na wanaishi vizuri . NB: kama ndoa haina shida siyo neno sana, lakini mwanamme siku akijifanya kijogoo na kumpiga mke anaweza kujikuta yeye ndiye yuko nje.Funzo kubwa.
Wanaume msikubali zawadi za viwanja au nyumba,gari toka kwa wakwe zenu sio ufahari mara nyingi hamtaishi kwa amani maana masimango na kupangiwa hiki au kile havitaisha.
Msiruhusu wakwe wawapangie pa kuishi,umeoa ishi unapopenda sio unapopelekwa kwa ofa ya wakwe. Kamseleleko katamu ila kana maidhi mengi
Mkwe yake heshima sio uoga
Nashukuru ila Huyu sitafuti tena heshima kwake. Heshima sitoitafuta kwa binadamu.Pole sana ndugu lkn ningekushauri upotezee tu inakupa heshima na baraka zaidi.
Ahsante. Hawa watu wa mikoa hii esp wala wali na samaki sio watu kabisa. Mama mbinafsi sana huyu.Mara chache sana kubahatika mama mkwe mzuri wengi ni vichomi tu.
Nashukuru ila huyu nataka mpaka sky iwe the limit.Pole mkuu jipige ngumi tatu kifuani potezea
Ahsante. Akili zilkua zimelala nkajua wema utaniletea heshima but sikutafuta kitonga.Funzo kubwa.
Wanaume msikubali zawadi za viwanja au nyumba,gari toka kwa wakwe zenu sio ufahari mara nyingi hamtaishi kwa amani maana masimango na kupangiwa hiki au kile havitaisha.
Msiruhusu wakwe wawapangie pa kuishi,umeoa ishi unapopenda sio unapopelekwa kwa ofa ya wakwe. Kamseleleko katamu ila kana maidhi mengi
Mkwe yake heshima sio uoga
Ewaaa. Ndo inavyotakiwa. Weka panga naweka shoka.Haha jamaa aliletewa pigo za kiwanja ni changu usinibabaishe ka vipi bomoa na mkewe alikuwa upande wa mama ake hiyo nyumba ilikuwa bado plasta ila madirisha na mlango tayari na umeme bado guess what alileta Greda akabomoa
Vitu vingine potezea tu. Na kusahau kutakuongezea baraka kutoka kwa Mungu. Fanya kama umetoa sadaka. Na usiweke kinyongo nayeye ila msahau na mpuuzie na usishirikiane nae mambo yako.Nashukuru ila huyu nataka mpaka sky iwe the limit.