Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sanaNdugu wana JF wasalaaam,
Napenda ku-share nanyi hii stori ili iwe fundisho kwa wengine wasije wakafanya makosa kama nilivyofanya mimi
Sijahamasisha kutenda uovu bli nimesema ujipende ww kama ww. Pesa ikipita mbele yako jilipe jasho lako maana ipo siku utalijutia wakati wanakusulubu.Nimecheka! BTW jamaa anahitimisha kwa kutoa ushauri wa kutenda uovu kwa sababu tu amekutana na mtu mmoja mkorofi. Kuna maelfu ya watu wengi wametenda wema na wakapewa asante na kuheshimiwa milele na hata kulipwa zaidi. Tusihukumu watu wote kwa ubaya uliofanywa na mtu mmoja.
Ahsante. Ni somo zuri. Ningekua yeye ningeleta mafundi wakabomoa vzuri ili tofali, mbao, nondo, vifusi n. K zipatikane zikaanze ujenzi kwingineko.Usije siku nyingine ukarogwa ukajengewa au kujenga kwenye kiwanja cha ukweni.
Wakati naishi mivumon kuna jamaa mwanajeshi kajenga kwenye kiwanja cha mama mkwe, ana anaishi naye pale, yani hakuna picha hajawahi kuona kwa mama mkwe. Kuna muda uwa anaambiwa asiwatishe kama vipi abebe nyumba yake asepe nayo awaachie kiwanja.
Fanya kupotezea hiyo milioni endelea na mbanga zako.
Ahsante kwa story yako. Yako ni tofauti kidogo na yangu. But ulicheza kama Messi.kuna manzi nilimpata ana kiwanja cha urithi aisee tuliachana sababu alikuwa anakomaa sana tujengee kwenye kile kiwanja ila ukimwambia hati tuweke isome majina yetu wawili hataki kusikiaaa... haya mambo inahitaji kutumia akili sana
Pole sana mkuu. Kuwakomesha ungeenda ukaleta greda au mafundi wakabomoa ukapata tofali za kuanzia kwingineko ili familia mpya wapate pa kukaa. Dunia hii jasho kamwe usiruhusu likapotea bure. Hakun mtu atakushukuru isipokua wazazi wako wa DAMU tu.Nmewah kupitia story kama hii ndio maan kuna wakat nikikumbuka nilioyapitia kwa wanawake huwa nasema bora nile nishibe na kulala tu
Ipo siku nitaleta story yangu aliyonifanyia mama mkwe wangu....yaan mm niliacha nyumba yangu na mali zangu mying maana ningeedelea kubak pale kwangu segerea ingenihusu
Ukisoma stori yangu vzr, nilkutwa nimekaa kwangu nyumba z kupanga. Akasema anajenga nyumba mjini lkn sisi tutakua tunakaa huku tukijipanga maana yeye yuko kijijini hawezi kukaa mjini. Na hapo ni baada ya kuona tunamlelea wajukuu zake vzr na kuwasomesha. Baada ya kuijenga hiyo nyumba nilitaka hao wajukuu zake wenyewe wakakae kwani ni aibu kukaa ukweni.Vijana wa kiume wa mkoani mna shida!
Kwa hiyo ukajiona dume la mbwa kwenda kuhamia kwa jike!?😀😀
Tayar kashaijua rangi yangu lkn bado hiyo haitoshi.Duh mwanangu umetililika sana hila pole mchunie mpaka ajue rangi halisi
Daah pole sana aisee...Nmewah kupitia story kama hii ndio maan kuna wakat nikikumbuka nilioyapitia kwa wanawake huwa nasema bora nile nishibe na kulala tu
Ipo siku nitaleta story yangu aliyonifanyia mama mkwe wangu....yaan mm niliacha nyumba yangu na mali zangu mying maana ningeedelea kubak pale kwangu segerea ingenihusu
Pole 🥺Nmewah kupitia story kama hii ndio maan kuna wakat nikikumbuka nilioyapitia kwa wanawake huwa nasema bora nile nishibe na kulala tu
Ipo siku nitaleta story yangu aliyonifanyia mama mkwe wangu....yaan mm niliacha nyumba yangu na mali zangu mying maana ningeedelea kubak pale kwangu segerea ingenihusu
Mzee wa kimasihara, naona ulitumia akili kubwakuna manzi nilimpata ana kiwanja cha urithi aisee tuliachana sababu alikuwa anakomaa sana tujengee kwenye kile kiwanja ila ukimwambia hati tuweke isome majina yetu wawili hataki kusikiaaa... haya mambo inahitaji kutumia akili sana
🤣🤣🤣🤣🤣we jamaaHuu ni muda wa shuhuda Mtumishi, weka ushuhuda wako tumuaibishe shetani