Wema wangu ulivyoniletea kejeli na fedheha kutoka kwa mama mkwe uchwara

Nmewah kupitia story kama hii ndio maan kuna wakat nikikumbuka nilioyapitia kwa wanawake huwa nasema bora nile nishibe na kulala tu

Ipo siku nitaleta story yangu aliyonifanyia mama mkwe wangu....yaan mm niliacha nyumba yangu na mali zangu mying maana ningeedelea kubak pale kwangu segerea ingenihusu
 
Sijahamasisha kutenda uovu bli nimesema ujipende ww kama ww. Pesa ikipita mbele yako jilipe jasho lako maana ipo siku utalijutia wakati wanakusulubu.
 
Ahsante. Ni somo zuri. Ningekua yeye ningeleta mafundi wakabomoa vzuri ili tofali, mbao, nondo, vifusi n. K zipatikane zikaanze ujenzi kwingineko.
 
kuna manzi nilimpata ana kiwanja cha urithi aisee tuliachana sababu alikuwa anakomaa sana tujengee kwenye kile kiwanja ila ukimwambia hati tuweke isome majina yetu wawili hataki kusikiaaa... haya mambo inahitaji kutumia akili sana
Ahsante kwa story yako. Yako ni tofauti kidogo na yangu. But ulicheza kama Messi.
 
Pole sana mkuu. Kuwakomesha ungeenda ukaleta greda au mafundi wakabomoa ukapata tofali za kuanzia kwingineko ili familia mpya wapate pa kukaa. Dunia hii jasho kamwe usiruhusu likapotea bure. Hakun mtu atakushukuru isipokua wazazi wako wa DAMU tu.
 
Vijana wa kiume wa mkoani mna shida!

Kwa hiyo ukajiona dume la mbwa kwenda kuhamia kwa jike!?πŸ˜€πŸ˜€
Ukisoma stori yangu vzr, nilkutwa nimekaa kwangu nyumba z kupanga. Akasema anajenga nyumba mjini lkn sisi tutakua tunakaa huku tukijipanga maana yeye yuko kijijini hawezi kukaa mjini. Na hapo ni baada ya kuona tunamlelea wajukuu zake vzr na kuwasomesha. Baada ya kuijenga hiyo nyumba nilitaka hao wajukuu zake wenyewe wakakae kwani ni aibu kukaa ukweni.

Alilalamika sana akasema sasa hiyo nyumba imejengwa kwa ajili gani kama hatuendi na wajukuuu hawezi kwenda kukaa wao wenyewehuju akisema hakuna mtu yyte atajua kama tunakaa ukweni, yaani tutakaa kama kwetu ingawa nyumba ni yake. Mke nae akalalamika sana mwishowe Tukashauriana tukaona kwa nn familia itengane kisa nyumba, itakua roho za kimaskini (mistake kubwa sana).

All in all nakubali nilifanya kosa kubwa sana kuhamia kwenye hiyo nyumba. Ningekataa wajukuu wake wakaishi wwnyewe. Nakubali kwa ujinga wangu but ndo maana nimetoa somo ili wengine wasije wakafanya ushenzi niliofanya.
 
Pole, masahibuya dunia, kuna wengine wamepata makubwa kuliko hayo,
Mkeo ana akili, sema anatoka kwenye familia hizi zetu, zenye mambo mengi,

Ushauri wangu,
Kabidhi hili jambo kwa mungu, achana na hiyo 1M, just hesabu umetoa sadaka hiyo 1M, na huo msaada wa ujenzi pia umetoa sadaka nguvu zako, Ukifanya hivo, mungu atakulipa kwa sadaka yako, tena atakulipa makubwa zaidi, na mambo yako yatanyooka zaidi,
Pia hili ni darasa tu, unapotea njia kwenda, kurudi huwezi potea njia
 
Hapa kuna somo kubwa sana mwenye kuelewa na aelewe, kamwe sitokuja ata siku moja nikajenge kwenye kiwanja cha ukweni mana mwisho wake ni aibu na fedhea tu
 
Maisha ya sasa yanataka akili sana. Ni kweli Kabisa naamini wema ni mbaya sana na wema wengi hufa mapema.

Samehe tu na sahau

Nakushauri samehe tu halafu endelea na maisha yako
 
Daah pole sana aisee...
 
Pole πŸ₯Ί
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…