Wema wangu ulivyoniletea kejeli na fedheha kutoka kwa mama mkwe uchwara

Noted
 
[emoji848][emoji22][emoji22]
 
Kuna watu wanapewa zawadi ya hata nyumba na wanaishi vizuri . NB: kama ndoa haina shida siyo neno sana, lakini mwanamme siku akijifanya kijogoo na kumpiga mke anaweza kujikuta yeye ndiye yuko nje.
[emoji28][emoji28]
 
Aiseee , mkuu ilete hiyo story haraka tujifunze kaka
 
Kuna funzo hapa, tusijiachie sana kwa wakwe, mashemeji, mawifi, hasa wakati wa amani na furaha, Mambo yakibadilika utapitia wakati mgumu Sana na utajuta, ( tusijiachie Sana)
 
Hapa kuna somo kubwa sana mwenye kuelewa na aelewe, kamwe sitokuja ata siku moja nikajenge kwenye kiwanja cha ukweni mana mwisho wake ni aibu na fedhea tu
Kwani mazoea utaanza kuyakalibisha vipi mpaka wakwe waanze kukwambia unjenge kwenye kiwanja chako? Ukiona wakwe wanakwambia ujenge kwao au kwenye kiwanja chao jua umeonekana dhaifu na hujielewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna manzi nilimpata ana kiwanja cha urithi aisee tuliachana sababu alikuwa anakomaa sana tujengee kwenye kile kiwanja ila ukimwambia hati tuweke isome majina yetu wawili hataki kusikiaaa... haya mambo inahitaji kutumia akili sana
πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Usikubali kupigwa 3-0 ndani ya dk 2 za mwanzo Kama umeshindwa kurudisha nifanyie sub tuchukue ushindi hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…