Wengi bado hamjamuelewa Papa. Wengine tumeanza kumuelewa toka usiku wa manane, ndiyo maana tukafanya maamuzi haya

Hii sentensi haieleweki mkuu.

Watoto wanaofanyiana ushoga shule za kata haswa shule za chanika hali ni mbaya.
Ina maana shule za kata hazina haya matatizo?
Chanika shule gani Mkuu?
 

Shoga ana jadiliwa na kanisa kujua namna ya kumbariki.


ila Muumini ambae kosa lake ni kutoenda jumuiya ndogo siku akifa hazikwi..



Kama papa ana upendo na mashoga kwanini asiwafanyie maombi wabadilike wawe wanaume kamili?
 
So Mungu ndio alipumzika ama nini?
Sijui kama alipumzika ama la. Ila nachosoma ni kifuatacho.

Mwanzo 2:3
[3]Mungu akaibarikia siku ya saba, akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya.
 
English Mediums ni kubwa zaidi kwa sababu huko watoto wanakuwa brainswashed
Hizo shule za Kiswahili ndio balaaa,Vitoto vinaanza kujifunza kuanzia Huko Mtaani uswahilini,Vikija shule vina practice vyooni. Case tunazisoma kila siku za watoto kukutwa wakifanyana huko Mashuleni.

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
 
Sijui kama alipumzika ama la. Ila nachosoma ni kifuatacho.

Mwanzo 2:3
[3]Mungu akaibarikia siku ya saba, akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya.
Mungu ali starehe?
 
Kuna walimu wanaolipwa kabisa kuhamasisha hayo mambo. Na hii ni kwa private na serikalini.

Naishia hapa.
 
muungwana akivuliwa nguo huchutama, si mmeona HAMAS walivyochutama baada ya kuvuliwa nguo na wayahudi? na ninyi wakatoliki mmevuliwa nguo na papa, chutameni. amewaangusha mno, najua mioyoni mwenu mnalichukia hili jambo ila mnajifariji tu ila linawakera. kubalini ukweli kwamba mmezingua, badilikeni, mfuate njia ya kweli acheni ushoga, songeni mbele na maisha mema. au kimbieni hilo kanisa. linawaaibisha. au jitengeni wabaki la katoliki yao Ulaya, mbona wenzeni Anglican walipoona Marekani na UK wanafungisha ndoa za ushoga wakawaruka na kuamua kujitenga.
 
Naumeanzia mbali, c Bora ungemtoa tu Papa, ukaongelea swala la ushoga mashulen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…