Wengi bado hawajaelewa maana ya kuunganishwa NIDA-INEC-CCM, Mwabukusi aelimishwe

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Ni kweli NIDA ipo Integrated everywhere including banks, TRA, migration, mitandao ya simu and so forth. Hii integration inaitwa Verification Access Integration. Ni kwa ajili ya kuhakiki taarifa tu.

Hoja iliyowekwa juu ya meza ni mfumo wa NIDA- INEC upo full integrated na mfumo wa CCM that means CCM ana full access na hii mifumo beyond verification.

Ni kweli voting ni manual... but hiyo manual haitokei kama haujaingia kwenye voters list (Daftari la Mpiga kura ) chini ya INEC...... ili ukafanye manual voting ni lazima utokee kwenye database ya INEC .... that is where CCM access your information.

Kupitia full access ya NIDA na INEC CCM itaweza kufanya data manipulation including selective blocking, voters transfers, editing, adding, removing, etc etc .

Then why NIDA integration also matters? kuna kitu kînaitwa data mirroring... matching names , DOB between NIDA na voters list ( daftari la Mpiga kura ) chini ya INEC hii ni control muhimu kwa CCM

Remember sio kila mwanachama atajiàndikisha kupiga kura...,,,

Kwa mfano;
CCM inawànachama 13 M , je ni wangapi wameingia INEC kwenye Voter list ( daftari la Mpiga kura) ?

hiyo information huwezi kuijua kama hauna integration ya INEC system , na hapo ndio NIDA inaingia kwa ajili ya kufanya balance ya watu, monitoring and data extraction.

Kuna Watanzania wengi hawàna mpango wa kujiandikisha....but they have NIDA.. so data mirroring using names and DOB kupitia Vlook up tutajua ni wangapi wana NIDA but hawapo kwenye VOTER list .... hawa ambao hawapo tuta wa -add kwenye INEC voter list( daftari la Mpiga kura) in favor of CCM na hizi ndio kura za CCM na huu mchezo ulikuwa unafanywa na kina Makamba na Nape na team yao. Kupitia hii integration, CCM inaweza kutoa watu kwenye daftari la mpiga kura… ndio ile unafika kituoni jina lako halionekani. Pia CCM inaweza kufanya voter transfer… ulijiandikisha masaki but siku ya kupiga kura unaambiwa ni kweli ulijiandikisha but ulijiandikishia machame so huwezi kupiga kura hapa…
Aidha, CCM kupitia integration inaweza kufanya kitu inaitwa Matching errors yaani unaitwa Jumqnne Hasani Bakari but matching error ikaleta Jumanne Hussein Bakari…. Hutoruhusiwa kupiga kura…. All these data manipulation ikiwa ni njia ya kupata ushindi. Hivi ndivyo full integration inaathiri manual voting.

Kama hakuna independent AUDITING kwenye INEC system ... you will never beat CCM.... may be by bloodshed

Kadhalika, kwa kutumia block chain and big data ànalysis CCM inaweza kufanya visualisation na ku détermine risk ya uchaguzi kwa upande wao...

Je unategemea NIDA/ INEC iseme ndio tume full integrate ?

Na je ni nani anaeifanyia AUDITING mfumo
Wa INEC ?

.....DG wa INEC wa zamani anagombania ubunge kupitia CCM.,,,bado hamuelewi?

Dr Megalodon Ndesaruo Mushi
Canada

Ni kweli NIDA ipo Integrated everywhere including banks, TRA, migration, mitandao ya simu and so forth. Hii integration inaitwa Verification Access Integration.

Hizi taasisi zinapewa lAccess only kuomba kutoka NIDA uhalali wa muhusika na usahihi. Na ndio maana charges applies.

Hoja iliyowekwa juu ya meza ni mfumo wa NIDA- INEC upo full integrated na mfumo wa CCM that means CCM ana full access ya editing, ammending, adending , adding, visualizing, blocking , Voter Transfers and Voter registration control from INEC.

Ni kweli voting ni manual... but hiyo manual haitokei kama haujaingia kwenye voters list chini ya INEC...... ili ukafanye manual voting ni lazima utokee kwenye database ya INEC .... that is where CCM access your information.

Data mirroring itamwambia CCM unawanachama 40 but walio jirejista kwenye voter list ni 10 tu na total voter list from INEC ni 100.....that means CCM hutoboi...

analysis hizi zinampa majibu CCM in advance na kwakua ana access ya INEC na NIDA..... that is where ataanza kufanya data manipulation including selective blocking, voters transfers, editing, adding, removing, etc etc . Then why NIDA integration also matters? kuna kitu kînaitwa data mirroring... matching names , DOB between NIDA na voters list ya INEC ni control muhimu kwa CCM

CCM inawànachama 13 M , je ni wangapi wameingia INEC kwenye Voter list ? hiyo information huwezi kuijua kama hauna integration ya INEC system , na hapo ndio NIDA inaingia kwa ajili ya kufanya balance ya watu.

Kuna Watanzania wengi hawàna mpango wa kujiandikisha....but they have NIDA.. so data mirroring using names and DOB kupitia Vlook up tutajua ni wangapi wana NIDA but hawapo kwenye VOTER list .... hawa ambao hawapo tuta wa -add kwenye INEC voter list in favor of CCM na hizi ndio kura za CCM na huu mchezo ulikuwa unafanywa na kina Makamba na Nape na team yao. Mnataka polepole aelezee how it works ? Mnapewa code but vichwa vimejaa ugali na supu ya kongoro , watanzania mna knowledge gap kubwa sana.... what a shame mtu anauliza lakin kura zinahesabiwa kituoni manually.... stupida

Kama hakuna independent AUDITING kwenye INEC system ... you will never beat CCM.... may be bloodshed

CCM imefanya comprehensive integration with all access ya INEC and NIDA. that means kwa kutumia block chain and big data ànalysis CCM inaweza kufanya visualisation prior....na ku détermine risk ya uchaguzi kwa upande wao... they don't go blindly like other parties ...

Je unategemea NIDA/ INEC iseme ndio tume full integrate ? Are you mad ?

lets not be stupida .....DG wa INEC wa zamani anagombania ubunge kupitia CCM.... bado hamuelewi ? ni nini ambacho hamumuelewi polepole.... you guys are stupida .

Rais wa TLS ni primitive and noisy maker hana impact yoyote....

Nimeshangaa hajui maana ya Verification Access Integration and Comprehensive Systems integration... what a shame

Dr Megalodon Ndesaruo Mushi
Canada

Sasa mimi ni nani nipingane na Katibu wa Itikadi na Uenezi?
Je, Katiba inatambua INEC, NIDA?
Je, INEC na NIDA watendaji wake wanapatikanaje?
Kama majaji na wabunge wanailinda Ikulu Ili waishi, je wateule wengine kwenye taasisi na idara za serikali watashindwaje?

Screenshot_20250826-204343.png

Kwa akili ndogo tu: Yaani hapo juu msimamizi wa uchaguzi, mtoa fomu kwa wagombea, mtangaza matokeo - tayari keshachukua upande - unahitaji akili zipi tena kubaini kuwa nia zao?

#No Reforms No Elections#
 
Maelezo mengi lakini ni ujinga mtupu.
 
Ni kweli NIDA ipo Integrated everywhere including banks, TRA, migration, mitandao ya simu and so forth. Hii integration inaitwa Verification Access Integration. Ni kwa ajili ya kuhakiki taarifa tu.

Hoja iliyowekwa juu ya meza ni mfumo wa NIDA- INEC upo full integrated na mfumo wa CCM that means CCM ana full access na hii mifumo beyond verification.

Ni kweli voting ni manual... but hiyo manual haitokei kama haujaingia kwenye voters list (Daftari la Mpiga kura ) chini ya INEC...... ili ukafanye manual voting ni lazima utokee kwenye database ya INEC .... that is where CCM access your information.

Kupitia full access ya NIDA na INEC CCM itaweza kufanya data manipulation including selective blocking, voters transfers, editing, adding, removing, etc etc .

Then why NIDA integration also matters? kuna kitu kînaitwa data mirroring... matching names , DOB between NIDA na voters list ( daftari la Mpiga kura ) chini ya INEC hii ni control muhimu kwa CCM

Remember sio kila mwanachama atajiàndikisha kupiga kura...,,,

Kwa mfano;
CCM inawànachama 13 M , je ni wangapi wameingia INEC kwenye Voter list ( daftari la Mpiga kura) ?

hiyo information huwezi kuijua kama hauna integration ya INEC system , na hapo ndio NIDA inaingia kwa ajili ya kufanya balance ya watu, monitoring and data extraction.

Kuna Watanzania wengi hawàna mpango wa kujiandikisha....but they have NIDA.. so data mirroring using names and DOB kupitia Vlook up tutajua ni wangapi wana NIDA but hawapo kwenye VOTER list .... hawa ambao hawapo tuta wa -add kwenye INEC voter list( daftari la Mpiga kura) in favor of CCM na hizi ndio kura za CCM na huu mchezo ulikuwa unafanywa na kina Makamba na Nape na team yao. Kupitia hii integration, CCM inaweza kutoa watu kwenye daftari la mpiga kura… ndio ile unafika kituoni jina lako halionekani. Pia CCM inaweza kufanya voter transfer… ulijiandikisha masaki but siku ya kupiga kura unaambiwa ni kweli ulijiandikisha but ulijiandikishia machame so huwezi kupiga kura hapa…
Aidha, CCM kupitia integration inaweza kufanya kitu inaitwa Matching errors yaani unaitwa Jumqnne Hasani Bakari but matching error ikaleta Jumanne Hussein Bakari…. Hutoruhusiwa kupiga kura…. All these data manipulation ikiwa ni njia ya kupata ushindi. Hivi ndivyo full integration inaathiri manual voting.

Kama hakuna independent AUDITING kwenye INEC system ... you will never beat CCM.... may be by bloodshed

Kadhalika, kwa kutumia block chain and big data ànalysis CCM inaweza kufanya visualisation na ku détermine risk ya uchaguzi kwa upande wao...

Je unategemea NIDA/ INEC iseme ndio tume full integrate ?

Na je ni nani anaeifanyia AUDITING mfumo
Wa INEC ?

.....DG wa INEC wa zamani anagombania ubunge kupitia CCM.,,,bado hamuelewi?

Dr Megalodon Ndesaruo Mushi
Canada

Je unajua ni kinyume chq sheria ccm kuwa na access even mirroring ya db?

Sheria ya NIDA 2019 na sheria ya makosa ya mtandao 2015

Zimeweka wazi kuwa hizo taarifa ni secret, na hazitolewi hovyo. Ccm having access ni kosa na wanakiwa washtakiwe
Na pia ni alert kabisa, ni namna gani mamlaka zinewaachia wafanye lolote

Lakin pia kuna personal data peotection bill ya mwaka 2022 ( bado haijakamilika)
 
Ni kweli NIDA ipo Integrated everywhere including banks, TRA, migration, mitandao ya simu and so forth. Hii integration inaitwa Verification Access Integration. Ni kwa ajili ya kuhakiki taarifa tu.

Hoja iliyowekwa juu ya meza ni mfumo wa NIDA- INEC upo full integrated na mfumo wa CCM that means CCM ana full access na hii mifumo beyond verification.

Ni kweli voting ni manual... but hiyo manual haitokei kama haujaingia kwenye voters list (Daftari la Mpiga kura ) chini ya INEC...... ili ukafanye manual voting ni lazima utokee kwenye database ya INEC .... that is where CCM access your information.

Kupitia full access ya NIDA na INEC CCM itaweza kufanya data manipulation including selective blocking, voters transfers, editing, adding, removing, etc etc .

Then why NIDA integration also matters? kuna kitu kînaitwa data mirroring... matching names , DOB between NIDA na voters list ( daftari la Mpiga kura ) chini ya INEC hii ni control muhimu kwa CCM

Remember sio kila mwanachama atajiàndikisha kupiga kura...,,,

Kwa mfano;
CCM inawànachama 13 M , je ni wangapi wameingia INEC kwenye Voter list ( daftari la Mpiga kura) ?

hiyo information huwezi kuijua kama hauna integration ya INEC system , na hapo ndio NIDA inaingia kwa ajili ya kufanya balance ya watu, monitoring and data extraction.

Kuna Watanzania wengi hawàna mpango wa kujiandikisha....but they have NIDA.. so data mirroring using names and DOB kupitia Vlook up tutajua ni wangapi wana NIDA but hawapo kwenye VOTER list .... hawa ambao hawapo tuta wa -add kwenye INEC voter list( daftari la Mpiga kura) in favor of CCM na hizi ndio kura za CCM na huu mchezo ulikuwa unafanywa na kina Makamba na Nape na team yao. Kupitia hii integration, CCM inaweza kutoa watu kwenye daftari la mpiga kura… ndio ile unafika kituoni jina lako halionekani. Pia CCM inaweza kufanya voter transfer… ulijiandikisha masaki but siku ya kupiga kura unaambiwa ni kweli ulijiandikisha but ulijiandikishia machame so huwezi kupiga kura hapa…
Aidha, CCM kupitia integration inaweza kufanya kitu inaitwa Matching errors yaani unaitwa Jumqnne Hasani Bakari but matching error ikaleta Jumanne Hussein Bakari…. Hutoruhusiwa kupiga kura…. All these data manipulation ikiwa ni njia ya kupata ushindi. Hivi ndivyo full integration inaathiri manual voting.

Kama hakuna independent AUDITING kwenye INEC system ... you will never beat CCM.... may be by bloodshed

Kadhalika, kwa kutumia block chain and big data ànalysis CCM inaweza kufanya visualisation na ku détermine risk ya uchaguzi kwa upande wao...

Je unategemea NIDA/ INEC iseme ndio tume full integrate ?

Na je ni nani anaeifanyia AUDITING mfumo
Wa INEC ?

.....DG wa INEC wa zamani anagombania ubunge kupitia CCM.,,,bado hamuelewi?

Dr Megalodon Ndesaruo Mushi
Canada

Umeeleweka
 
Sasa mimi ni nani nipingane na Katibu wa Itikadi na Uenezi?
Je, Katiba inatambua INEC, NIDA?
Je, INEC na NIDA watendaji wake wanapatikanaje?
Kama majaji na wabunge wanailinda Ikulu Ili waishi, je wateule wengine kwenye taasisi na idara za serikali watashindwaje?

View attachment 3454368
Kwa akili ndogo tu: Yaani hapo juu msimamizi wa uchaguzi, mtoa fomu kwa wagombea, mtangaza matokeo - tayari keshachukua upande - unahitaji akili zipi tena kubaini kuwa nia zao?

#No Reforms No Elections#
Hapa hamna hoja mbona hamjazungumzia hiyo picha nyuma yake!!!... Huyu n rahisi wa nchi yupo kila mahali..pamoja na utapeli, ulighai na wizi ulokubuhu wa kura na rasilimali za nchi unaofanywa na Thithiem ila kwa haya mengine hatuna hoja
 
Back
Top Bottom